Umezaa na kupost duh!!! Wazazi wa kisasa
Mungu ni mwema, nimepata mtoto wa kike masaa mawili yaliyopita. Muombeeni mtoto wetu akue mwenye afya njema. Nimefurahi kuwa mama.
Atamkabidhi kwenye social networks kwanza inavoonekana....
None of my business though
Duh... yani unajifungua.... ndani ya masaa mawili mtoto tupa kule, we unawahi JF!!
Hivi ndani ya masaa mawili maumivu yanakuwa yameshaisha enh??
Ama kweli wazazi wa dotcom nimewavulia kofia. Usisahau kutuwekea na kapicha ka bebigelo wetu na ya babaake....
cc wamama wa kale BADILI TABIA, Kongosho, gfsonwin

hongera aiseee....wanasema kulea mimba si tabu .....tabu kulea mwana.......Mungu akusaidie umlee mtoto wetu vzuri.....
ukitoka hospital mpeleke kanisani kama mkristu...kamkabidhi kwa Yesu.....au kam muislam basi mpeleke msikitini......
Hongera Mungu akukuzie...sisi kikwetu tunasema shokagako hange...yaani fanya mambo tena baada ya muda ujaliwe mtoto mwingine...
Nyie wasukuma mnajua kutotoa tu
Duh... yani unajifungua.... ndani ya masaa mawili mtoto tupa kule, we unawahi JF!!
Hivi ndani ya masaa mawili maumivu yanakuwa yameshaisha enh??
Ama kweli wazazi wa dotcom nimewavulia kofia. Usisahau kutuwekea na kapicha ka bebigelo wetu na ya babaake....
cc wamama wa kale BADILI TABIA, Kongosho, gfsonwin
hongera navopenda watoto jamani I wish niwe ni mimi
zaa na mimi
madame
Duh... yani unajifungua.... ndani ya masaa mawili mtoto tupa kule, we unawahi JF!!
Hivi ndani ya masaa mawili maumivu yanakuwa yameshaisha enh??
Ama kweli wazazi wa dotcom nimewavulia kofia. Usisahau kutuwekea na kapicha ka bebigelo wetu na ya babaake....
cc wamama wa kale BADILI TABIA, Kongosho, gfsonwin
atamkabidhi au amemkabidhi tayar!
masaa mawili tu yamepita na tayar huku kaleta habar huko church/msikitin kawajuza saa ngapi!
huyo ndo tayar mtoto wa medias
He he he, vere soon wataanza kuzaa live wakiwa JF. Yaani mtu anajifanyia Breaking NEws harakaharaka.
miss chagga wakwetu lini?hongera mama precious ...
Hamjui furaha niliyo nayo mie ndo maana mnasema hivyo...hivi unajua ukibeba mimba mawazo unayokuwa nayo kichwani ni yapi...am the happiest mother niacheni nifurahi Jamani!