Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,177
- 34,444
mtoa mada anaitwa baby wa kitaa
ndio maana nikamwambia hongera baby kwa kupata baby
owh haya
mtoa mada anaitwa baby wa kitaa
ndio maana nikamwambia hongera baby kwa kupata baby
hongera navopenda watoto jamani I wish niwe ni mimi
Baba yake anaitwa nani?
Dah hongera sana. Kwahio hukutumia ndomu kumbe! Dah ina maana kumbe kuna siku ulifanya haya mambo! Aiseeee, kumbe hata wewe unafanya! Aaaghh kuna mambo mengine magumu kweli kuyaelewa. Mungu akubariki sana sana
Baba yake anaitwa nani?
hongera kwa kupata mtoto...
ha ha ha ha ha jamani baba yake yuko humu humu jamiiforums
Mungu ni mwema, nimepata mtoto wa kike masaa mawili yaliyopita. Muombeeni mtoto wetu akue mwenye afya njema. Nimefurahi kuwa mama.