mmh hili suala linahitaji busara sana maana ukiangalia huyo ni kama kaka yako coz ni kaka wa dada yako.hata kama baba yake hakuoana na mama yako lakini mtoto waliezaa ndo alieleta undugu wenu.kwahiyo huyo ni kaka yako.ila jaribu kufuatilia kimila zaid na ww mwenyewe msimamo wako uko vp
pole sana dada kwa yaliyokukuta ila usinge kaa kimya ungeendelea kuongea na mumeo ili ajue kuwa ni ww na umeshagundua kuwa anakusaliti na pia rafiki yako ungemuuliza palepale coz ulikuwa na evidance.Kwa sasa kaa chini na mumeo umueleze kila kitu ili ajue kuwa unaelewa nn kinaendelea kat yake na...
Mungu awatie moyo wafiwa wote na kuwaponya majeruh wa ajali hyo?cjui kama nch yetu inavifaa madhubut kwa ajil ya uopoaji?Hili ni janga la taifa zima so tuwaombee wenzetu
pole sana kwa yaliyokukuta.jaribu kufanyia kazi ushauri ulioupata kutoka kwa wana jf.ila inahitaj utulie kwa muda ili uweze kupata uamuz mzuri.na vile vile uangalie mwanaume mwenyewe anaonyesha kujutia kosa lake au anaona ni sawa tu?kama anaonyesha kujal na kukuplease jarib kumfikiria kwanza.ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.