Recent content by baby ake

  1. baby ake

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Wanawake Kupata Maumivu Wakati na Baada ya Kujamiiana: Fahamu Sababu na Suluhisho la Tatizo

    Habarini wanaJF, Nilikuwa mbali na mpenzi kwa karibu miezi sita (did'nt hv sex kwa kipindi chote hicho). Sasa amerudi juzi hapa tukakutana and sex. Though alikuwa anapata shida kidogo kuingia but since then huku kwabibi kunauma kama ndo nometoka kutolewa bikra. Is that normal? nitashukuru kwa...
  2. baby ake

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Doctors

    afu wewe nshakujua, beby dokta kumbe umo humu??! uwahikurudi nyumbani leo nna homa mwenzio lol
  3. baby ake

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Doctors

    to some extent
  4. baby ake

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukitaka kushinda moyo wa mwanaume au mwanamke ni hivi tu

    huelewi lolote khs wanawake ww. As a woman, natekwa na mwanaume mwenye akili/kujitambua (anayejua nini anataka in life na kuweka mikakati ya ufanikishaji)/kujiamini/mchakalikaji/controlling na awezae kuplay part yake kama mwanaume. Nakamatika sana wa mkaka anayeweza kunikontrol, nikafeel like...
  5. baby ake

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Uiiiiiiii ukifikia stage hii ya mapenzi bora utekwe na BOKO HARAM WALLAH"

    we mleta mada acha kupanic. kwenye jamii zetu mara nyingi watu wakiona mnataka kufunga ndoa basi wataanza kujifanya wao F.B.I kukuletea mainfo yaukweli na uongo ilimrdi mambo yavurugike. Mpka umefikiria kumuoa maana yake amekuridhisha achana na past yake, who does not have bad past anyway? hao...
  6. baby ake

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu Mpoki vipi jamani?

    we nae rwegoshora nn..
  7. baby ake

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mdada huyu ananisumbua

    "kwaiyo ndo umeamua kuja nisemea humu??! hamnazo kweli ww sa si ungenambia tu ningekuelewa! kwanza hukuniambia kwmb umeoa na wewe ndo umenitongooooooza weeee mpaka nikakubali now nishaanza fall in luv ndo unaleta haya mashauo. kwendraaaa zako kule ebooo" hahahahahaaaaaa...ila we nawe acha ishu...
  8. baby ake

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania She is not my standard

    hao ni wamama watu wazima wakwendre zao ni wachonganishi tu ukiona hivyo wanataka uwaoe mabinti zao hahahaaaaa pipo r luking for grin pascha hata kwenye ishu ya ndoa ati... hakuna tabia ambazo ziko permanent bana kaa nae chini anza kumfunza how to behave na aachane na tabia za kijinga km...
  9. baby ake

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliomba tuachane sasa hivi anataka turudiane

    ukiona bado una hasira nae ujue bado una vijielement vya mapenzi on her... usitudanganye hapa eti umepata mangi anakukosha ukweli ni kwmb akili yote inamuwazia huyo kicheche. we umeamua kuachana nae usijishauri au kuuliza watu eti umfanyaje
  10. baby ake

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ingekua Wewe Ungefanyaje?

    haya baba nadhani ni kweli sijaelewa
  11. baby ake

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ingekua Wewe Ungefanyaje?

    nimeisoma na kuielewa otherwise ulishajiandalia majibu yako ...umesema mume hawezagi kuvumilia awapo horny na kwasasa yupo mbali na mkewe na amepatwa na hiyo hamu. Afanyeje???) namie ndo nikakujibuu kwmb uwache kujiendekeza kwn usipofny utakufa??!!! or else mastabeshen itakuhusu, na ole wako...
  12. baby ake

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ingekua Wewe Ungefanyaje?

    huyo nae atakuwa anajiendekeza tu...unajua kitu km unajua huwezi kupata hata hamu nacho haiwi juu sn. alikuwaga na mahamu anayoshindwa kuvumilia coz wife alikuwa pembeni, sa kwavile yupo mbali ajityuni tu kukubaliana na halihalisi... au la ajipige mkono mie (if ndo wife wake) namsaidia ajisikie...
  13. baby ake

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke hawezi kumsahau mwanamume aliyemleta katika dunia ya mapenzi?

    kiukweli wala hatuwakumbuki, binafsi nasahaugi kabisa hata kama huyo mtu anaexist in ths planet hahahaaaaaaa.... thats frankly speaking
  14. baby ake

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni Msaada wa mawazo tafadhali

  15. baby ake

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kanipotezea, msaada wa mawazo tafadhali

    hahahaaaaaaa wasalimie huko unakosepea
Back
Top Bottom