Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,307
- 3,416
Tatizo kubwa la mapenzi hayashauriki mtu unaweza ukampa ushauri mzuri tu kwamba huyo mtu akufai kwa sababu 1,2,3 so achana nae wengi wao hukubali lakini inapokuja kwenye utekelezaji wengi hushindwa hasa mwenza wakeakija akiomba forgiveness na kutoa promise mbalimbali.