Recent content by BABY ACY

  1. B

    Biashara ya vipodozi

    Eneo linamata sna. Pia vipodoz vinalipa ngoja wahusika waje wakudadavulie vzr
  2. B

    Zingatia ulaji huu wa kichina

    Pouwa kaka ngoja nianze leo nione
  3. B

    Ninamtafuta Richard Mushi

    Kuwa na adabu kijana.
  4. B

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Hiv kwa kipind hiki aug, sept na oct bei ya gunia ni ngap shamba?
  5. B

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Nashukuru sana baraka mwenyez mungu akinipa uzima bas mwaka huu na mie nitaingia rasmi. Woga wa kufanya mambo unaturudisha nyuma sna pia na kuanza kufikiria kupata hasara kuliko faida.ubarikiwe
  6. B

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Ngoja niendelee kujipanga zaid angalao niaanze na gunia 80 kwanza. Na ni kipind gan angalao bei inakuwa rahis shamban? Nikimaanisha gunia moja kwa bei ya shamba?
  7. B

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Ngoja niendelee kuiongezea ka m5 kangu angalao bas ifike 10. Na fuso yenye gunia 100 kutoka iringa-dar inaweza kuwa bei gan?
  8. B

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Tuungane bas mkuu tupige kaz .
  9. B

    be ware of erolink

    Kuonewa kwel wanawaonea lkn swala la kugegedwa ni tabia ya mtu hata angelipwa million. Baadh ya wanawake wamekuwa rahis sna yan lunch inakuvua pichu!!!!!!!!!!!!!!!!@@
  10. B

    Msaada kuhusu hawa EROLINK RECRUITMENT AGENCY TAFADHALI!!

    Japo kwa kuanzia sio mbaya, tak hom ni lak 4 kwa nbc , ila rafik yngu unakuwa kama yatima vile kwan wenzako kila mwez wanapewa maziwa nido sukar majan, bonus, overtime, uniform, mkopo, na mengne meng ila wewe ulietoka erolink huna chako na unaambiwa upige pamba ufanane na wafanyak wenzako.licha...
  11. B

    Msaada kuhusu hawa EROLINK RECRUITMENT AGENCY TAFADHALI!!

    Wapo masaki opposite na merry brown, pia wapo morroco
  12. B

    Msaada kuhusu hawa EROLINK RECRUITMENT AGENCY TAFADHALI!!

    Ni kwel kabisa ulivyosema, mie nimefanya nao kaz ni wanyonyaji sna , pia ukipata tatizo wanakutema fasta.sio sir tak hom kwa nbc haizid lak 420 na voda haizd lak 250. Pia pa kuanzia sio mbaya ukiwa unaendelea kuangalia sehem nyingne usije ukabweteka.
  13. B

    Msichana wa kazi Maxmalipo Service

    Mie nipo tayar na naish river side vip nitapata? Pia nitapewa training namna ya kuitumia hiyo mashine? Coz sina experiance ya kutumia hiyo machine.
  14. B

    kwa iyo hauwezi kumpikia wala kufua hadi akuoe?

    Kweli kabisa, akifanyiwa vyote ndio bas tena .mzuka wa kuoa utapungua
Back
Top Bottom