Mwanaume ndo baba...sasa kulia lia kisa mke ana mshahara mkubwa haisaidii...we hudumia familia yako tu mkuu..hela ya mwanamke huwa ni ya kwake😁..ila kama kuna nyodo ndo uumie moyo
Wakuu salama?. Naomba kuuliza mwenye uzoefu wa scania kwa mtu kumiliki
Najua 124 haina mambo mengi ila nataman kujua kama r450 au model nyingine itanifaa kwa kazi za kusafirisha mizigo
Wanadai ule uchungu wake unaweza kusababisha figo kufeli...maana dawa kama dawa lazima iwe na kiwango cha kuingia mwili tofauti na miti shamba mtu unakuta unajioverdose
Shida wanaweka za quality mbovu ila kwenye quotations wanaweza za high quality...kama barabara ya mwanza pasiasi-airport zile taa alieweka Mungu anamuona [emoji1787]
Pole sana my dear kwa changamoto unayopitia hakika Mungu atakupigania..kulea watoto peke yako kwa maisha ya sasa sio kazi ndogo..sis wanaume wa machame hatunaga tabia ya kuwasusa watoto
Ngoja siku umkute huyo unaemuita best yako analiwa na na mtu mwingine[emoji1787]...mnakutana viwanja anajifanya hakujui kabisa ndo utalia machozi ya damu...mpaka kaka mtu unampa hela aisee haiwezekani umezingua sana...mtakuwa wote bado watoto sio ajabu anadate na mabausa [emoji1787]...uchawi...
Vanguard ina heshima yake bana...ni gari ya juu usifananishe na visubaru...eti bora subaru kuliko vanguard [emoji1787][emoji1787]..acheni bangi..vanguard ina level zake...
Mkuu hongera sana...30M ni pesa ndefu sana ukiipangilia...mi nipo kwenye biashara muda mrefu sasa tokea 2014...
Komaa na car accessory naona haina stress tena ukikaa mwenyewe ili ujue wateja wanapenda nn utatoboa...hayo ya service (barbershop) achana nayo kwanza maana itabidi uwalinde vinyozi na...
Habari za leo wakuu, kichwa cha habari kinajieleza...nina ile fensi ya yebo yebo sasa kuna wale wadudu weupe(white flies) wamekuwa kero sana..
Nimetumia duduba na inaua sema ni kama imewazoea na kipindi hiki cha mvua wanazaliana sana
Naomba msaada dawa kali ambayo itawamaliza hawa wadudu maana...
Habari wapendwa?, poleni na majukumu.
Nina shida na program ya tally erp iwe release ya latest kidogo maana niliyo nayo ni erp 9 release 1.1.
Napatikana Mwanza kwa mwenye nayo anichek tuyajenge [emoji120]
Mi nimeishi uk kwa miaka minne...ugumu unakuja pale unataka usettle kwanza upige kazi upate sehemu nzuri ya kuishi hado bongo unakuta una wategemezi basi unakazana sana kupiga kazi viwandani huko au za care homes..sasa pale unakosa muda wa kusocialize na watu mbali mbali..totoz ukienda club mara...
Aisee sikishauri maana utajikuta unamuumiza tu mtoto wa watu...oa yule ambae moyo wako umempenda...
Mi ilinitokea kipindi nipo ugaibuni demu alikuwa na kazi kubwa ila nikampiga chini maana hata kusema i love u too ilikuwa kazi balaa....moyo kama haujapenda ni kazi sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.