Habarini wana Jamii, naomba kufahamishwa sehemu au kiwanda kinachotengeneza vifungashio kwa ajili ya unga wa mahindi, dona,sembe muhogo etc. pamoja na bei zake.
asanteni.
Wana jamii ninatafuta gari isiyozidi Tsh. 6Million. AINA: Toyota Carina Ti VVTi, Spacio new model au nyingine ambayo ni user friendly yenye hali nzuri. Nitumie Picha kupitia WhatsApp 0764039624. Asanteni.
Habarini za asubuhi waungwana!
Ninaomba ufafanuzi kuhusu utofauti kati ya PAPER-BASED AND INTERNET-BASED TOEFL TEST kwa yeyote anayejua. natakiwa nifanye test hiyo na nimeambiwa nichague kati ya hizo mbili ili nifanye tar 10.
Tafadhalini anayejua pia vitu gani vya msingi mtu unapaswa kujiandaa...
Hawana jipya,waendezao huko. Sasa mahakama si dhani kama inavunja ndoa. Bali hutenganisha wanandoa pale panapojitokeza hali ya hatari kati yao. Ndoa ya kikristo haivunjwi isipokuwa kifo pekeee!!!!
Naomba kwa yeyote ajuaye sehemu zinakopatikana Gear box za Mazda Premacy(AUTOMATIC) yenye CC 1800 anijulishe ninahitaji nibadilishe kwenye gari yangu imeleta shida. 0764039624 please nimehangaika sana,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.