Hata Mimi kifo cha Magufuli kiliniumiza sana lakini haisaidii kuendelea kumlilia mtu ambaye tunajua hatarudi tena.Toa ushauri tufanye nini?.kulalamika hakusaidii kitu.
Kila mtu asome kitu anachokipenda na anachokiweza.Hatuwezi kulingana.wote tukiwa mainjinia nani atakuwa mwalimu,polisi,nesi nk.Kila mmoja wetu ana karama aliyopewa/jaaliwa.
Inawezekana unayoongea yana ukweli ndani yake lakini umeongea kishabiki sana kiasi kwamba uliyoongea yamepoteza mantiki.Siku nyingine punguza mihemuko.
Naomba kueleweshwa, kwani mfanyabiashara akiwa na kitambulisho hatakiwi kulipa ushuru wa aina yoyote mfano ushuru wa soko?kama ndivyo naunga mkono wazo la kuuza vitambulisho;kama sivyo basi huu ni wizi wa kiufundi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mleta mada na hao kina sarungi na ulimwengu lenu moja tu;mnatetea matumbo yenu(njaa zinawasumbua).hamna uchungu na vijana wa nchi hii.Ni kweli nchi ipo kwenye matatizo makubwa sana ya kiuongozi,hali ikiendelea hivi tunakaribisha janga litakalo tugharimu;lakini hakuna wanaharakati wenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.