Namshauri Rais afute vitambulisho vya wamachinga

Namshauri Rais afute vitambulisho vya wamachinga

Nchi imemshinda hana option nyingine ya kupata mapato ,huo ni ubunifu wa PhD holder , genius rais wa wanyonge .
 
Mpango wa serikali kuingiza mapato kupitia polisi wa Usalama barabarani ulipobuma ukatafutwa huu wa vitambulisho kwa wamachinga baada ya wengi wenye magari binafsi kuamua kuacha magari yao nyumbani kuepuka kubambikiwa makosa. Huu mpango nao ukibuma kama ilivyo kwa mipango mingi katika awamu hii tutegemee serikali hii kukurupuka na mapango mwingine mkali zaidi wa kuwaumiza wananchi. Kuchagua hovyo kuna gharama zake kwa hiyo tuvumilie tu kwani tulilikoroga wenyewe baada ya kuchagua hovyo na sasa tulinywe tu bila kulalamika pamoja na machungu yake...hapa kazi tu!
 
Binafsi naona rais Yuko sawa kabsa,kila mtanzania anapaswa kuwajibika kwa kulipa kodi pale anapotoa/kupewa huduma,ulaya hadi makahaba wanalipa kodi,why not us? Go on Magufuli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
images%20(24).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlipoambiwa wote wenye mitaji chini ya milioni nne, mlidhani nyinyi waokota makopo mpo juu ya milioni nne? Wote kanyaga, kuanzia milioni nne hadi 0tsh
Nchi inaendeshwa kwa kodi, kuwa mzalendo lipa kodi acha kulia lia.
 
Naomba kueleweshwa, kwani mfanyabiashara akiwa na kitambulisho hatakiwi kulipa ushuru wa aina yoyote mfano ushuru wa soko?kama ndivyo naunga mkono wazo la kuuza vitambulisho;kama sivyo basi huu ni wizi wa kiufundi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afute vitambulisho wakati ubunifu wake wa PhD wa kukusanya mapato ndio umeishia hapo .Kapu la hazina ni tupu kabisa .
 
Back
Top Bottom