Recent content by Babu Ochu

  1. B

    JamiiForums Tanzania Hakuna watu wajinga kama watu wanaoamini habari za kichawi

    Huko kwa Kuhani Musa yeye mahubiri yake kila siku ni uchawi tuu na watoto eti hufukua makaburi na kula nyama za watu 🤣 Mwamposya yeye ni uchawi wa paka na watu kurogwa na kunya misumari na maembe Upumbavu mtupu
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

    Kwanza hujui lolote kuhusu Uislamu Sasa kukuelimisha ni kumpigia mbuzi gitaa. Mosi hizo heresay ukisoma OT nani aliyekuwa ana mrekodi Yahweh ad verbaun neno kwa neno kama secretary wake. Nani alimuona Mungu akijifanya John Cena na kutandikwa vibaya na Yahudi mmoja. Wenye Tourati ambayo ndio...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe tambua wewe ndiye Yusufu wa Biblia, tafadhali usimpotoshe mfalme

    Bashe Kesha sema hatazuia chakula kuuzwa nje ya nchi Juzi rais wa Congo amewekeana mkataba kufungua soko la chakula cha Tz jijini Lubumbashi hii ni mbali na la Goma na Kivu . Sasa changanya na yanayo kwenda Kenya, Rwanda, Sudan Yusufu wako ni feki
  4. B

    JamiiForums Tanzania Zitto hana chama, chama ni cha Wapemba na wafuasi wa Maalimu Seif

    Kilicho msumbua Zitto ni kutaka nafasi ya kiongozi wa upinzani bungeni akidhani atapata wabunge wengi toka Zanzibar lakini Mwendazake akapiga tobo yeye mwenyewe na kuishia kupata wabunge wanne tuu
  5. B

    JamiiForums Tanzania Shaka: Wenzetu wa vyama rafiki njoo tumuunge mkono Rais Samia kwani maendeleo anayofanya hayana jina la Chama chochote

    Jengo Zitto analo jinasibu nalo ni mali ya Maalim Seif Foundation na akileta ule usaliti wake kwa Wapemba wataondoka na jengo lao.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Viongozi wa ACT Wazalendo wamedanganya umma kuhusu Jengo lao Jipya?

    Magu alivunjilia mbali Club Bilcanas ☹️
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ratiba mgao wa maji: Aweso na watendaji wako punguzeni uongo

    Mzigua wa Pangani,Tanga
  8. B

    JamiiForums Tanzania Wazir Awesu: Wananchi wapewe bili halali za maji wakati huu!

    Hotuba zote za Awesu ni "... nani kama mama piga makofi kwa mama Samiaa.." Mwambieni kila sekunde maji mamilioni ya lita yanamwagika baharini huhitaji kuwa Einstein kuyatumia
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya mbao wa maji

    Hotuba zote za Awesu ni ".... Nani kama mama piga makofi kwa mama Samia..." Mwambieni kila sekunde mamilioni ya lita za maji yanamwagika bahari na haihitaji teknolojia ya rocket kuyazuia na kuwapelekea watu Watu wa Pangani nani kawaloga?
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya mbao wa maji

    Manzese tuliambiwa leo zamu yetu mpaka usiku huu hatujaona hata tone la maji na tope lake
  11. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania yakopa bilioni 310 EXIM kutanua mfumo wa NIDA

    Taratibu tutaanza kumueelewa Ndugai
  12. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, Mwigulu na Rutto wanakosea? Tozo haiepukiki Kwa Dunia ya Sasa, Tukubali kubadilika

    Kodi inapaswa kutokana na faida ya mapato, nikimtumia mama yangu fedha ya kujikimu kodi inaingiaje hapo?
  13. B

    JamiiForums Tanzania Maji na umeme Dar es Salaam

    Mlioo karubi na Mhesimiwa Rais Samia mwambieni haya: Dar maji imeshafikika lita 20 shilingi mia tano, watumiaji umeme kujipatia mkate wao hawana kazi Sasa mwambieni sifa za Aweso za "NANI. KAMA MAMA, na Makamba za MAJIKO YA GESI KILA KIJIJI kwetu sisi tunotoa zaidi ya 70% ya pato la seriikali...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Raia Mwema: Mawaziri wamzunguka Rais, wWajipanga kwa Urais kwa kusaka pesa ughaibuni' Je ni nani hao?

    Lowassa na hayati mr Abel (maarufu kwa bongofleva ya kimasai) walwekewa mikono na TB na wote hawakufanikiwa
  15. B

    JamiiForums Tanzania TAHLISO waionya Chadema

    Educated fools Hakuna uteuzi siku za karibuni
Back
Top Bottom