Raia Mwema: Mawaziri wamzunguka Rais, wWajipanga kwa Urais kwa kusaka pesa ughaibuni' Je ni nani hao?

Raia Mwema: Mawaziri wamzunguka Rais, wWajipanga kwa Urais kwa kusaka pesa ughaibuni' Je ni nani hao?

Gazeti la Raia Mwema linaripoti kuwepo kwa Mawaziri wanaomzunguka Rais Samia..

Inasemekana kuna Mawaziri wanajipanga kwa Urais wa 2025 kwa Kusaka Pesa za kampeni Ughaibuni..

Ni vyema tukawatambua Hawa Mawaziri ni kina nani maana Alianza RC Chalamila kwa kusema kuna Wateuliwa wanatamani Kiti Cha aliyewateua..👇
View attachment 2398210
Ninasubiri kuitwa nikampigie kampeni ya nguvu yule atakayeniita !! Mara hii sio bure tena ! Nimeshajanjaruka ! Sitaki tena kujenga kwa mwenzangu na kwangu kwaporomoka !!
 
Ninasubiri kuitwa nikampigie kampeni ya nguvu yule atakayeniita !! Mara hii sio bure tena ! Nimeshajanjaruka ! Sitaki tena kujenga kwa mwenzangu na kwangu kwaporomoka !!
Wajinga ndio wanaweza kurundikana mtaani eti wanashangilia wanasiasa..

Bila chochote siwesi fanya huo upuuzi Mimi maana siasa ni Kazi kama Kazi zingine.
 
Wote ni wale wale..., Mvinyo ni ule ule kwahio hakuna kinachobadilika hapo labda tu huo mvinyo wote umwagike..., Badala ya kutetea wellbeing ya wananchi maisha yanawapiga hatuwezi kuanza eti kumtetea Rais hazijeondolewa / asiwe kuondolowe uchaguzi ujao (kwani yeye ana hati miliki hapo)?
Kiafrika afrika rais anakuwa kama kakodishwa nchi katika kipindi chote cha utawala wake hufanya anavyotaka.
 
Gazeti la Raia Mwema linaripoti kuwepo kwa Mawaziri wanaomzunguka Rais Samia..

Inasemekana kuna Mawaziri wanajipanga kwa Urais wa 2025 kwa Kusaka Pesa za kampeni Ughaibuni..

Ni vyema tukawatambua Hawa Mawaziri ni kina nani maana Alianza RC Chalamila kwa kusema kuna Wateuliwa wanatamani Kiti Cha aliyewateua..👇
View attachment 2398210
Watu wako serious lakini wanachukuliwa poa. Naona joto linazidi kuongezeka.
Watu ambao hawajui miiko yoyote katika utumishi wao hawafai. Mama asijizungushie watu wa namna hiyo.
Ni bora watu wanaojua miiko kama kina Mkenda, Ndalichako, Mama Tax, Kabudi, Lukuvi na wengine wa sampuli hiyo.
Kuna watu wao ni vyeo na pesa tu. Hata mimi napenda lakini hatutumii nguvu kiasi hicho.
Duh! Tunaelekea red hot! Tumetoka Infrared!
Tukifika White Hot, sijui itakuwaje?
 
Chalamila hakuongea kwa bahati mbaya.... kuungolea urais bila ruksa ya wakubwa ni risky. Anyways, between now and 2025, damu zitamwagika.
AC alipata yellow sticker. Yeye alisoma pale juu tu. Upande usikuwa na gundi.
 
Gazeti la Raia Mwema linaripoti kuwepo kwa Mawaziri wanaomzunguka Rais Samia..

Inasemekana kuna Mawaziri wanajipanga kwa Urais wa 2025 kwa Kusaka Pesa za kampeni Ughaibuni..

Ni vyema tukawatambua Hawa Mawaziri ni kina nani maana Alianza RC Chalamila kwa kusema kuna Wateuliwa wanatamani Kiti Cha aliyewateua..👇
View attachment 2398210
Gazeti la kuandika taarifa za kufikirika .Taarifa za udaku.Mwandishi wake ndugu Kubenea ana elimu ya hapa na pale tu.Mzee Ulimwengu yeye anaongea baada ya kulewa.Watanzania wanapenda hafidhi tupu.Hawapendi kufikiria vitu vya kweli na halisi.
 
Ngoja nimsaidie mama kumtajia wabaya wake
1.January Makamba
2.Mwigulu Nchemba
3.Nape Nauye
Duh,

Urahisi wa nchi hii kweli umekuwa takataka. Hao ndio wanaoutaka huo urahisi?

Na maajabu ni kwamba, kama mchezo mchezo hivi, au mzaha wa aina fulani, halafu unastukia kweli Nape ndiye Rahisi!
 
Ngoja nimsaidie mama kumtajia wabaya wake
1.January Makamba
2.Mwigulu Nchemba
3.Nape Nauye
Kwa jinsitunavyopigwa kwenye vifurushi na vocha kwa huyo nape ninamashaka makubwa sana ukiingiza vocha 100 hakuna vifurushi vinaisha kama unavyochoma karatasi mungu anamuona
 
TB Joshua bwana,

Alisema eti alfajiri flani aliongea na Mungu na kamuhakikishia kuwa Lowasa ndiye Rais ajaye wa Tanzania..badae akashinda kipala mara akaibuka..'Mungu kamuonesha kuwa Magufuli would make the best presidency within ten years...'.anyways wote hatuko nao WAPUMZIKE KWA AMANI JMN!
Dr Mwigullu Nchemba aliwekewa mikono na mtume TB Joshua
 
Kuusaka urais ni kosa!?

Si ni harakati za Adili kuiokoa nchi na sintofahamu wanazoona hao wasaka urais!!?

Jk alipambana akaupata Basi ni FURSA kuwa wengine pia!!?

Japo urais na vyeo anatoa MUNGU pekee!!

Kama wanamhujumu Rais nae anajua Bas ujue Rais kakubali kuhujumiwa!

Hasa umeme,Maji na Fedha kakubali MWENYEWE maana Rungu analo la kuulia nyoka!!
 
Gazeti la Raia Mwema linaripoti kuwepo kwa Mawaziri wanaomzunguka Rais Samia..

Inasemekana kuna Mawaziri wanajipanga kwa Urais wa 2025 kwa Kusaka Pesa za kampeni Ughaibuni..

Ni vyema tukawatambua Hawa Mawaziri ni kina nani maana Alianza RC Chalamila kwa kusema kuna Wateuliwa wanatamani Kiti Cha aliyewateua.
View attachment 2398210
Kwani ni dhambi kwa waziri kuutaka URAIS??,
 
Back
Top Bottom