Recent content by Babu Mkuu

  1. B

    JamiiForums Tanzania Madiwani wa CCM na CHADEMA Nyamagana jijini Mwanza kupiga kura kutokuwa na Iman Meya Wao Mr.Mabula

    Mabula ni mstahiki meya wa halmashauri ya jiji la Mwanza sasa inakuwaje madiwani wa halmashauri ya manispaa ya ilemela wapige kura?:kev:
  2. B

    JamiiForums Tanzania Sakata la Mitaala na Matokeo ya Kidato cha Nne: Mkurugenzi Mkuu Taasisi ya Elimu ajiuzulu

    Hongera sana Dr.Mushi,umeonyesho usomi wako badala ya kuburuzwa,siasa hizi sio,naamini wewe ni msomi utaendelea na kazi zingine muhimu katika jamii yetu ya kitanzania.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Salva Rweyemamu, itunzeni heshima ya Ikulu yetu!

    Du!hii kali kiongozi,kutudanganya maana yake nini?:nod:
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini kinakufanya (Mwanamme) ukanunue wanawake wanaojiuza?

    1.uwezo wa kifedha. 2.kutotaka usumbufu 3.kula vitu utakavyo wewe,kwani sokoni kuna kila sampuli 4.kujikinga na maradhi kiurahisi na kuepukana na usumbufu,matumizi ya CO ni ya mwendelezo kwa kuwahofia wa sokoni. 5.Unafurahia utakavyo kwani biashara inakuwa ni makubaliano na pesa yako. 6.Hakuna...
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vitu 10 Ambavyo Wanawake Wamewazidi Wanaume...! Je kweli??????

    10.Wana uwezo wa kuliwa na zaidi ya mwanaume mmoja kwa kwa siku kwani halua haina makombo.:A S 101:
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasichana IFM Dar wanajiuza laivu...

    kiongozi ukahaba kwa kwenda mbele,tellers si mali ktu kama ulidhani hivyo kwa kuwa wametokea ifm,ogopa watoto wa chuo,eti honey,my carpet........utaumia
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri mchumba wangu anatembea na lecturer wake

    Achana nae
  8. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri mchumba wangu anatembea na lecturer wake

    Best ishu sio lecturer kuwa na mke ishu ni huyo mke wako to be kuwa na mahusiano na lecturer,u know what?akina dada vyuoni hupenda sana vya mteremko kama vile soe offers,kufaulu vizuri na kuonekana kuwa wanatoka maisha bora ili hali ni wanatoka katika familia au koo ambazo ni choka mbaya...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge Sugu, mchumba wake na mtoto wao wakihamasisha utalii wa ndani.

    Hongera mh.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Hakimu wa kesi ya Lwakatare yupo likizo, dhamana imeshindikana kutolewa

    Lakini ishu ni hakimu au uwepo wa mahakama?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Clouds FM wamburuza mahakamani Lady JayDee, kesi yapigwa kalenda hadi Mei 27...

    Wana jf mwene the straight story kuhusu hii issue ya mahakamani kuhusu jd na clouds fm mtujuze vizuri,siku moja wiki iliyopita nilisikia kwa mbali katika radio clouds miongoni mwa wahusika wakijaribu kuelezea the issue lakini sikuambulia kitu.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Chadema yailiza CCM bunda mjini

    Hakuna kulala hadi kieleweke,ni wakati sasa wa kuamka mwaka 2015 lazima kieleweke.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Swali la Kizushi: Kwanini Job Ndugai anamuogopa Tundu Antipasi Lissu?

    yawezekana namba 1 na 2 hapo juu ikawa sahihi sana
  14. B

    JamiiForums Tanzania Politics

    Ndugu wana jf,naomba kujua cv ya kinana
  15. B

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa aizika CCM Tunduma

    Bila walakini ni 4
Back
Top Bottom