Wasichana IFM Dar wanajiuza laivu...

Wasichana IFM Dar wanajiuza laivu...

Kwanza nashangaa topic hii........eti wasichana wa ifm Dar wanajiuza laivu. Je na wale wanaojiuza Kona bar utasema ni wasichana wa Ustawi wanajiuza laivu? Ni vema kabla ya kujumuisha na kudhalilisha watu ukawa na ushahidi kama vile wanajiuza wapi na wanajiuza Sh ngapi? Machangudoa wamejaa kila mahali na sitaki kuamini kwamba wasichana wote wa IFM wanajiuza! Mzee kama ulikuwa na kadem kako huko kakakumwaga kisa huna mpunga basi usifanye hitimisho kwa kusema kuwa wote wanajiuza.
 
wewe ulikuwa unatafuta nini huko ina maana na wewe ni wale wale wanaume bwenge
 
nilikuwa siamini hadi niliposhuhudia laivu. Ikifika mida kuanzia saa moja usiku, aisee wanajiuza laivu, na ni wasichana wa ifm, wala sio kwamba wanawake wa mtaani wamekuja pale wakijifanya kama wanafunzi wa ifm ili wapate soko la hasha, ni wanafunzi wa ifm, aisee, wanajiuza laivi. Nilipiga picha kuwa, hao ndio wafanya kazi wetu wa mabenki hao, watu wengi kwenye mabenki wamepitia hapo na hivyo ukiona wanawake wazuri kwenye counter, jua walishawahi kuwa makahaba, hata wavae vizuri vipi....aisee, tz kwisha habari yake....mkiwakuta bank wamependeza unawapapatikia kuwaoa, kumbe walishashambuliwa na nyenyere chini kwisha habari yao...hakika yake wanawake wazuri kumbe sio wale walio wasomi, wasomi walio wengi makahaba tu.
kiongozi ukahaba kwa kwenda mbele,tellers si mali ktu kama ulidhani hivyo kwa kuwa wametokea ifm,ogopa watoto wa chuo,eti honey,my carpet........utaumia
 
popote ukienda ata chole road madaktari wanajiuza,rudi ambiance watu wa ushauri nasaha wanajiuza nenda buguruni na ohio yaani tumuombe mungu tu ila hali ni mbaya sana.
 
Mambo ya kujiuza kwa wanafunzi wa IFM yameanza almost 10 years ago baada ya serikali kuondoa full sponsorship na kuintroduce mikopo, na kuanza kuchukua direct entrants kutoka A-level. Serikali iliondoa free meals cafeteria na wanafunzi wakaanza kujinunulia chakula. Pesa za mikopo hazitoshi kununulia chakula na mahitaji mengine ya kila siku, hivyo basi wanafunzi wa kike [most of them] wanaingia kwenye temptations za mjini, za kujipatia pesa kutoka kwa wanaume wa nje wenye pesa za "ziada"! Hao wanaume wengi wao ni wafanya biashara na maexecutives kwenye taasisi za binafsi na za serikali. Bomu hili serikali imelitengeneza yenyewe na halipo IFM tu, ni kwenye vyuo vyote vikuu hapa nchini, both private na governmental!!

pamoja mkuu m naomba serikali ifute kabisa mkopo wawe wanatoa hata 0714 huwa naipenda sana sema nishajaribu madenti kama saba huwa hawatoi mpaka uende maisha club kwa wazoefu
 
Hawauzi, sema wanakodisha, unakitumia unakiacha pale pale
 
Kuna chaliangu
mmoko jana
et anafuraha
kinyama
Demu ake
kaenda IFM!!
Nikataka
kumwambia
ukweli
ila nikavunga tu..
 
Ni kweli mkuu hakuna cha mwanafunzi wala nini.Kuna siku nilikamata mmoja akajifanya dent wa chuo,katika maongezi nikamuuliza eeh vipi GPA ziko poa? Akajibu hazikopoa wala nini mwl.mwenyewe wa somo la GPA hata haingii class!! Mwanachuo huyo...
Hahahah hii ilikuwa Kanjanja ingekupiga mawe!
 
Si wanunuzi mpo! ndiyo maana wanajiuza

Respect is reciprocative
 
Thumb up kwa wadada wote wa mjini mnaojua kingereza. Hata kama husomi ifm, danga likikuuliza unasomea nini hapo chuoni nawe unajibu kwa kujiamini I PREFER NOT TO TALK ABOUT MY INDIGENOUS CAREER. Danga chali, hana alichoambulia, anabaki kufurahia kapata mtoto wa chuo hahahahahahaaaaa
 
Nilikuwa siamini hadi niliposhuhudia laivu. ikifika mida kuanzia saa moja usiku, aisee wanajiuza laivu, na ni wasichana wa ifm, wala sio kwamba wanawake wa mtaani wamekuja pale wakijifanya kama wanafunzi wa ifm ili wapate soko la hasha, ni wanafunzi wa ifm, aisee, wanajiuza laivi. nilipiga picha kuwa, hao ndio wafanya kazi wetu wa mabenki hao, watu wengi kwenye mabenki wamepitia hapo na hivyo ukiona wanawake wazuri kwenye counter, jua walishawahi kuwa makahaba, hata wavae vizuri vipi....aisee, tz kwisha habari yake....mkiwakuta bank wamependeza unawapapatikia kuwaoa, kumbe walishashambuliwa na nyenyere chini kwisha habari yao...hakika yake wanawake wazuri kumbe sio wale walio wasomi, wasomi walio wengi makahaba tu.
Mkuu pole sana wamekuingiza mjini nini ndio maisha ya mjini gali haiendi bila mafuta so hawa watoto wazuri wanaitaji pesa mzee baba toa pesa upewe papuchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom