Recent content by babu maziwa


 1. B

  Mkutano wa 37 wa SADC: Kwaniini Rais Magufuli Amekwepa Kuhudhuria?

  Kama mabilion yanamfuata hapa nyumbani kutoka kwa mamilionea na nchi kuu mbalimbali kumsifu kwa kuendesha nchi vizuri kuliko hata hizo nchi zenye exposure nyingi , what else do you need,aende for Tourism? Tayari anawakilishwa. Sent using Jamii Forums mobile app
 2. B

  Hivi kuna mtumishi wa umma anawaza kuipigia kura CCM!?

  Bado una hoja tu? CCM kwanza mengine baadae Sent using Jamii Forums mobile app
 3. B

  Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

  Kwani kuna ambao wanajisikia vizuri mambo yetu ya maendeleo kukwama? Na kuyafanya kichekesho na kebehi? Mbona yanapo mwagwa mapesa nama mabilionea nchini hatuwi Wa kwanza kusifu Sera nzuri ziliopo? Tunaitkia nchi hii mabaya tu?' "What a shame"! Sent using Jamii Forums mobile app
 4. B

  Mwanamke wa Kibantu: Kama una wowowo, usipoolewa huo ni uzembe wako!

  Ila angalia, wasikuchukulie! Sent using Jamii Forums mobile app
 5. B

  Msaada: Smartphone yangu aina ya Samsung imejizima, then imegoma kuwaka

  Mafundi wamekwambiaje? Ipeleke wakupe ushauri kama bado hujaipeleka Sent using Jamii Forums mobile app
 6. B

  Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

  Tatizo lenu ni nini? Ame play part yake na kaitendea vizuri. Haja choka. Tumpe hongera yake. Sent from my TECNO-C7 using JamiiForums mobile app
 7. B

  Natafuta chumba cha kupanga Morogoro

  Piga 0657193935
 8. B

  Natafuta chumba cha kupanga Morogoro

  Zipo room 2.Modeco Baracuda. Nyumba INA ukuta na gate.
 9. B

  Natafuta chumba cha kupanga Morogoro

  Zipo room 2, Modeco Barracuda, Nyumba ina ukuta na gate. Piga 0657193935
 10. B

  Wanaoandamana kumpongeza rais je, wanajua walitendalo au ni kwa msukumo wa wanufaika wachache?

  Tupe alterative yako, mambo yangefanyikaje,? na tupeh mchango wako nchini humu umekuwa nini so far?. Tusiwe wepesi Wa kulalamika kwa kila jambo bila kuonyesha sisi wenyewe tumefanya nini? Kumbuka unapo onyesha kidole kimoja kwa mwenzio kwa lawama, vitstu vina kuonyesha wewe.
 11. B

  Wakina kaka, nini kinasababisha harufu mkivua viatu

  Uchafu Wa miguu
 12. B

  Tabia ya mke wangu kuniaga 'naenda kulala', sijaipenda

  Kwani ukienda kulala baadae hatimizi wajibu wake?
 13. B

  Mafanikio ya Rais Magufuli tangu aingie madarakani November 5-2015!

  Hivi hawa wanao lalamika kwa kila Rais aliopo madarakani wanamtaka rais aina gani? Kikwete walimsema anacheka cheka wakati nchi inaangamia. Na wakati huo bandari ilikuwa huria mafisadi walijenga mpaka nyumba 74. Watu walipishana angani kwenda Ulaya wakitumia mabilioni ya fedha. Huduma za ofini...
 14. B

  Magreth Sakaya ametambuliwa na Msajili wa vyama kama Katibu Mkuu wa CUF

  Kwanini mnaitumbukiza CCM kwenye masuala ya CUF na msajili? Au ni chuki sisizo na msingi? Mbona alipo shinda Lema, hamkuisifia CCM kwa kumtoa Lema?