Leo nimegoma kumpisha kwenye siti binti mjamzito

Hivi mpaka mtoe matusi kwenye discussions? Hivi Serikali ikifungia hizi Forum sababu ya matusi au lugha chafu mtasema mnaonewa? Jadilini hoja kama huna huja usichangie kuliko kutoa matusi. Pia jamii Forum kwa nini mnachapa topic za matusi hamjui kwamba mna jitia kitanzini wenyewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili halimhusu tu binti mjamzito huwa nawashangaa sana hata wazee yani anaona gari imejaa anapanda ana smama akitegemea huluma ya abiria wajifunze kusubiri gari wapate siti wapunguze haraka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom