Nichikuja kugundua..Goli la kwanza ndio goli..la pili ni vuherehere vyetu tuonekane wamba...wengi hatulifurahii hata kidogo ..
Labda kama demu anajituma Ila naamini tulio kwenye ndoa wengi. Tunapitia hili
Hawa Jamaa ni zaidi ya majambazi..kuna mshikaji wangu anafanya biashara za minadani..Huwa wanasafiri pamoja na kama unavyojua wakirejea Toka masokoni Huwa na vibunda vya kutosha .anasema Huwa wakikutana na askari usiku hudanganya wanatoka msibani ,la sivyo mnageuzwa kitega uchumi
Hi hi ndio kitu Cha msingi kwenye maisha ya Sasa hivi..mfano mzuri wafanyakazi makazini..kuna ambao wakitaka kuondoka ,hr wanawaita mezani Wana counter offer...kuna wengine ukiagwa unaambiwa safari njema.
Kuna wengine ukiagwa wanakuchukulia poa wanakuaga ila baada ya muda wanaona pengo lako...
Ye namuelewa Sana..ameshajua kucheza na hwa maboya..aliona wanampiga akawatekenya wakajaa.
Niambie ni nani tokea ulimwengu uumbwe alishawahi vunja mikataba na makampuni makubwa Bila ya kesi na kupotezwa.
Jamaa ni genius na atawapeleka puta..ana confidence ya ajabu sijawahi ona
Milioni 18 huo ni mshahara wa mtu wa kawaida kwenye haya mabank...wakurugenzi wa hizi bank kubwa ..NMB .Crdb ,Nbc..wakurugenzi wao wanalipwa zaidi ya milioni 50
Kaa kimya kuficha ujinga wako..magari yote yameandikwa..abiria chunga mzigo wako.we unafaulishwa ukaacha mzigo ulifikiri hiyo ndege utaukuta ndani..punguza uzembe mtoto wa kike
Hawa watu Wana roho mbaya Sana...yaani hii story wanaileta kipindi mwenzao Katoa wimbo Ili kuzima trend.
Hawa siku wasafi ikifikia ukubwa wa clouds wasanii wataumia Sana..hawa Jamaa hawana upendo kwa msanii yeyote wasiyenufaika nae .hawana Nia njema na bongo fleva...
Hawataki msanii yeyote...
Nadhani wewe ndio mzembe Wala usiwasingizie BM. Mwisho wa magari ni magufuli bus stand.wao kwa upendo wao wanawatafutia usafiri Hadi shekilango.kwa uzembe wako unasahau mzigo unasingizia kampani.shame on u.
Hujatumia akili hata kidogo. Hiyo Hela utailipa na inaweza kukusumbua.. Mara kadhaa wafanyakazi wa bank hufanya makosa kama hayo. Ila Kaa ukijua wakifanya reconciliation lazima watagundua tu.
Maana kama umewekewe kimakosa Ina maana kuna mtu alipaswa kuwekewa kwa makosa ukawekewa wewe.
Bora...
Huku mjini tumekuja kuchuma tu..tukifa mtuzike makwetu..unajua tatizo la Kilimanjaro ni uhaba wa ardhi..ndio maana hawauzi ardhi na wanakuwa wagumu kuwauzia wageni
Kwa utaratibu wa Moshi..gari linalobeba mwili wa marehemu ndilo linalobeba ndugu zake wa karibu..kama ni baba basi humo watapakia mke na watoto..kaka na madada ..yaani wa ndugu wa karibu Sana..so waona utakuwa ni msiba mkubwa kiasi gani..yaani ni ukoo umeondokewa na watu waote hao
Kaka sidhani kama ndivyo..ni uzembe tu wa madereva..Sisi wenyewe tuliwahi koswa na fuso mwaka Jana mwezi wa sita MITA kama hiyo tulikuwa tunamsafirisha mwili..pona yetu dereva wetu alikuwa yuko smart na anawafahamu vizuri madereva wa fuso..baada ya kuukwepa huo mtego nilimuuliza alijuaje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.