Dkt. Kimei akiona cha moto Rombo

Dkt. Kimei akiona cha moto Rombo

Tulionya mapema sana kwamba mikutano ya hadhara si kwa kila mtu.

Huko Vunjo Dr. Kimei amekiona cha moto kwa wananchi kukosekana kwenye mkutano wake wa hadhara ambao umeandaliwa kwa gharama kubwa, yaani hata vile viti 20 alivyoviandaa havikupata watu wa kuvikalia! Noma sana!

Onyo: Mikutano ya hadhara siyo semina za CRDB.
HATA MFANYAJE DR KIMEI NDIYE MBUNGE WA VUNJO NA ATAENDELEA NA UBUNGE HUO DAIMA, KUWEPO WATU AU KUTOKUWEPO KWA WATU KUSIKUHADAE, WATU WA VUNJO TUNAJUA TUNAFANYA NINI.
Nota ben:-BRBR, YA KONDENI NDIO KILIO KIKUBWA.
 
Dr. Kimei sio mwanasiasa mzuri, sijui ni nini kilimuingiza kwenye siasa. Hata kuongea kwake tu ni shida.
Dr. Kimei sio Jamii za kuongea uongo mwingiii, huyu ni Jamii ya utendaji na utekelezaji wa ilani, sasa mnaopenda waongeaji maamuzi ni yenu, tu nacho hitaji ni utendaji, kuifufua upya Vunjo yetu kiuchumi, kuvutia vijana kupenda kilimo, pamoja na kupata bei safi na nzuri za mazao yetu, usalama na mengineyo!
 
Very true amekaa CRDB miaka zaidi ya 15, as CEO na mshahara mkubwa na "wizi" hapo hapo, bado uroho wa madaraka anakwenda kuiba kura akisaidiwa na Maguyfuli, bladifaken

Hapo kwenye wizi? Unaeza shed light aliiba nn? Wizi wa aina gani?

Kuhusu siasa ni kwamba alikuwa chaguo la jpm ili awe wazir baaadae but the sponsor akaondoka katikat na project ikafa. Unaachoon sasa hiv anajarib ku survive mwenyewe ,no bodu has his back
 
Toka Jana naomba picha ila cjazipata isije ikawa kamanda anatufunga kamba tu hapa Kama yule chawa wa mama pro max Jana alitufunga kamba kuwa mkutano wa CDM. Hauna watu
 
Hapo kwenye wizi? Unaeza shed light aliiba nn? Wizi wa aina gani?

Kuhusu siasa ni kwamba alikuwa chaguo la jpm ili awe wazir baaadae but the sponsor akaondoka katikat na project ikafa. Unaachoon sasa hiv anajarib ku survive mwenyewe ,no bodu has his back
Mwandishi wa threads hii Hufahamu kuwa ROMBO na VUNJO ni sehemu mbili tofauti?, Kimei ni mbunge wa Vunjo, aliendaje kuutubia ROMBO huko kwa kina selasini wasiojitambua!
 
Hapo kwenye wizi? Unaeza shed light aliiba nn? Wizi wa aina gani?
Kwa nafasi yake na kwa jadi ya waafrika akiwana CEO ie madaraka final, ni wezi! By default ........ni wezi, hata wewe na mimi tukipata nafasi ya kuiba tutaiba labda tuwew tumetokewa na Roho Mtakatifu! Mimi nina Roho Mtakatifu, sijui wewe!
 
Uroho wa kishamba yaani unastaafu ukapewa gari ya million 800 ya kutembelea na hapo umetoka kwny salary ya zaidi ya 18m kwa mwezi then unarudi kupigania salary ya 12m plus uchawi na husuda kibao...

Tamaa mbaya ,
Milioni 18 huo ni mshahara wa mtu wa kawaida kwenye haya mabank...wakurugenzi wa hizi bank kubwa ..NMB .Crdb ,Nbc..wakurugenzi wao wanalipwa zaidi ya milioni 50
 
Dr. Kimei sio Jamii za kuongea uongo mwingiii, huyu ni Jamii ya utendaji na utekelezaji wa ilani, sasa mnaopenda waongeaji maamuzi ni yenu, tu nacho hitaji ni utendaji, kuifufua upya Vunjo yetu kiuchumi, kuvutia vijana kupenda kilimo, pamoja na kupata bei safi na nzuri za mazao yetu, usalama na mengineyo!
Umeongea kama meneja wa kampeni wa Dr. Kimei.

Mimi nimeongea kuhusu siasa, siasa inahitaji mwanasiasa mzuri, siasa inahitaji muongeaji mzuri. Siasa inahitaji mtu anayejua kupangilia hoja na kuziwasilisha vizuri.

Sasa wewe umekuja na mambo ya utendaji mzuri, kwani nani asiyefahamu Dr. Kimei ni mtendaji mzuri? Au unadhani wakati anaifanya CRDB kuwa Bank ya maana sisi tulikuwa tumekufa ndio tumefufuka leo yeye akiwa mbunge?

Acha kuherehere!
 
Nimekuelewa mkuu, juu ya nini unapendelea - (unapendelea wapanga hoja)

""Mimi nimeongea kuhusu siasa, siasa inahitaji mwanasiasa mzuri, >>siasa inahitaji muongeaji mzuri.✌✌✌😇<< Siasa inahitaji mtu anayejua kupangilia hoja na kuziwasilisha vizuri.""
Binafsi sipendi maneno mengi napenda kero zote kutatuliwa kwa haraka!
 
Tulionya mapema sana kwamba mikutano ya hadhara si kwa kila mtu.

Huko Vunjo Dr. Kimei amekiona cha moto kwa wananchi kukosekana kwenye mkutano wake wa hadhara ambao umeandaliwa kwa gharama kubwa, yaani hata vile viti 20 alivyoviandaa havikupata watu wa kuvikalia! Noma sana!

Onyo: Mikutano ya hadhara siyo semina za CRDB.
Mkutano Rombo, mbona mnafiki.
 
Uroho wa kishamba yaani unastaafu ukapewa gari ya million 800 ya kutembelea na hapo umetoka kwny salary ya zaidi ya 18m kwa mwezi then unarudi kupigania salary ya 12m plus uchawi na husuda kibao...

Tamaa mbaya ,
Bab ,bib na we umeongeza chumvi Sana gari la milinion Mia 800 liko VIP Hilo gari Mbna mm niliona gari lake lenye dhamni ya milion 270 mkuu

Kwangu mm Siasa Ni kill kitu unaweza ukawa Hadi mkurugenzi wa u.n.habintant na sisas

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Tulionya mapema sana kwamba mikutano ya hadhara si kwa kila mtu.

Huko Vunjo Dr. Kimei amekiona cha moto kwa wananchi kukosekana kwenye mkutano wake wa hadhara ambao umeandaliwa kwa gharama kubwa, yaani hata vile viti 20 alivyoviandaa havikupata watu wa kuvikalia! Noma sana!

Onyo: Mikutano ya hadhara siyo semina za CRDB.
Hamna picha?
 
Mikutano ya siasa achia chadema
 
Back
Top Bottom