Jamani napanda ukujukwaani kutoa hitaji langu.nina tv yangu lg 3d lakin ninauhaba wa movie za 3d sina ata moja kila nikienda wanapouza movie hiz za kubarni awana nimezunguka sana naomba kwa anayejua zinapopatikana anijulishe niko ARUSHA
JE?ulishawai kufikiria tv yako inaweza toka A na kwenda B hapa nazungumzia flatscreen.unaweza chukua rimonti yako na kuangalia tv yako ni toleo gan waweza kuta ni toleo la 2015 toleo la nyuma na sasa ni 2017 sasa unakuta kuna baadhi ya mambo unakosa.sasa embu fanya mpango usibaki nyuma na kama...
embu toa maoni yako kuusu hizi tv je ni nzuri? je katika matumiz azipat moto?je umeshatumia au iliwai kwenda kwenye kumbi za sinema ukatumia siku hiyo uliona utofauti gani.embu tujuzane na mm nijue
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.