Anselm JF-Expert Member Nov 16, 2010 1,710 291 Mar 14, 2017 #1 Wakuu naomba anayefahamu zilipo LG service centre anielekeze,radi imenitia umaskini wa Tv na Home theatre yangu hata mwaka havina
Wakuu naomba anayefahamu zilipo LG service centre anielekeze,radi imenitia umaskini wa Tv na Home theatre yangu hata mwaka havina
Chief-Mkwawa Platinum Member May 25, 2011 31,331 41,656 Mar 15, 2017 #4 ipo nairobi na kama ni issue ya umeme wala usihangaike