MTK program

babanyau

Member
Jan 11, 2017
26
12
kuna programu inatumika kwa sasa kwaajili yakuunga baadhi ya mambo embu nipeni ufafanuzi
Screenshot_2017-01-30-11-16-07.png
 
Yaani KA APK Hako Kama Simu Imefungwa Na TCRA ZA MTK Unabadili Imei Afu Simu Inakuwa Poa
Unaweza Kuiroot Simu Yako Kupitia Hako Hako
Unaweza Kufanya Booting Yoyote Ya Simu Kupitia Hako Hako
yaani kana Kazi Nyingi Sana
Leta ELIMU zaidi mkuu
Kwenye suala la offer Za dakika
 
kuna programu inatumika kwa sasa kwaajili yakuunga baadhi ya mambo embu nipeni ufafanuziView attachment 465220
Hiyo hairoot Simu lakini inaweza kubadili network toka 2g mpaka 3g au 4g na kuandika imei ni kosa katika taifa hapo inaweza kuandika kwa baadhi ya Simu za mtk na sio zote.Hiyo inaweza kunlock sim kutumia mitandao yote pia inaweza kufunga na kuset baadhi ya matumizi ya Simu.
 
Yaani inabadili simu kutoka 3g to 4g hata kama hardware ya simu ikiwa haisapoti bands za 4G ?
 
Yaani KA APK Hako Kama Simu Imefungwa Na TCRA ZA MTK Unabadili Imei Afu Simu Inakuwa Poa
Unaweza Kuiroot Simu Yako Kupitia Hako Hako
Unaweza Kufanya Booting Yoyote Ya Simu Kupitia Hako Hako
yaani kana Kazi Nyingi Sana
nina ka-samsung fake kamekamatwa na tcra, nipe msaada zaidi
 
Back
Top Bottom