3d tv zenyeuwezo huo wa 3d unasemaje?

3d tv zenyeuwezo huo wa 3d unasemaje?

babanyau

Member
Joined
Jan 11, 2017
Posts
26
Reaction score
12
embu toa maoni yako kuusu hizi tv je ni nzuri? je katika matumiz azipat moto?je umeshatumia au iliwai kwenda kwenye kumbi za sinema ukatumia siku hiyo uliona utofauti gani.embu tujuzane na mm nijue
 
Back
Top Bottom