Recent content by babalili

  1. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wewe mwanamke, kama una mwanaume asiyetumia pombe, mwogope sana huyo

    Pombe mwenzake shetani, pombe na ngono baba mama mmoja
  2. B

    JamiiForums Tanzania Sheria zinasemaje kuhusu Polisi kuvamia ubalozi na kukamata mtu bila ruhusa ya balozi husika?

    Kuvamia ubalozi wa nchi nyengine ni Sawa na Kuvamia nchi yao
  3. B

    JamiiForums Tanzania Hii 'Turufu' ya uhakika ya CCM imethibitisha kuwa 'Chama' kina Watu 'Makini' wa Kuusoma Mchezo na Kuwashinda vizuri Wapinzani

    Hivi wewe kwa hayo mawazo yako ya kijinga unadhani makame anaweza kushindana na seif huko Pemba? Pole yako Sana ndugu
  4. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Majimbo ambayo CCM haitoboi

    Nusu ya unguja na Pemba yote ccm hawatoboi
  5. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu sio Mzee Lowassa, asipuuzwe!

    Nimependa ujumbe wako mzr ila nakuomba ungewafikishia na hao wanaccm wasiokua na mitandao ya kijamii
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wanavutiwa na mimi japo sio handsome, sina hela wala sijui kuvaa vizuri?

    Itakua una hormones za kike au za ushoga
  7. B

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam kuwa jiji la tatu kwa wingi wa watu mwaka 2100: Litazidi Mumbai na Delhi!

    Kwa hyo unatuambia jiji la Delhi na Mumbai kuanzia hv ss mpaka 2100 watakua hawaongezeki, hawatozaana tena na wengi watakufa? Coz kama hv Sasa wamelizidi jiji la dar itakua wanaendelea kulizidi kwa uwingi wa watu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nchi gani ya Afrika iliyoongozwa/tawaliwa na Rais mmoja tu kwa miaka mingi na ikapata maendeleo?

    Hakuna nchi yyte Sent using Jamii Forums mobile app
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nasikia wadudu huwa wanaongeza hamu ya tendo. Je ni kweli wakuu?

    Yaani mkuu kama ungepata mate ya nyoka hayo ndio kiboko ya yote, co kuongeza nguvu bali hata kukojoa unachelewa pia, tafuta mate ya nyoka Sent using Jamii Forums mobile app
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mke anahitajika haraka

    Hahahahahaha
  11. B

    JamiiForums Tanzania Serikali ipitishe sheria hijab na kanzu yawe mavazi ya utambulisho wa taifa

    Kwa hyo unatuambia na utamaduni wa magharibi tuwaachie huko ili na cc tuanze kuvaa ngozi za wanyama 7bu ndio utamaduni wetu
  12. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mtumishi TAMISEMI Dodoma aliyekutwa kafa ndani gari kwenye maegesho ya hoteli ya Morena, stori yake inasikitisha sana

    Nikiwa kama private investigator hii story naihisi iko kinyume na ulivyopata story, itakua ww unajua kuhusu kifo cha jamaa au jamaa kakupa story ya uongo ili kuficha ukweli, kwa mtazamo wangu Huyo jamaa hakujiuwa ameuliwa
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi hampaki makalio yenu mafuta

    Unaweza ukawa mzr lkn usiwe cute, hivi niko wapi vile?
Back
Top Bottom