Recent content by babakijanju

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

    Umenena bro!!! manake hawa jamaa wamegeuka ukahawa badala ya ukawa!!
  2. B

    JamiiForums Tanzania Leo ndio umeonekana umuhimu wa JamiiForums

    duh....leo imependeza kwakweli.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge yawaadhibu wabunge 5 wa Upinzani

    Wabunge watano wa bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania mh Tundu Lisu, Moses Mashali, Mnyika na wengne wawili wazuiwa kushriki vikao vya bunge vilivyobaki. Sababu kubwa ni kwamba wamekuwa ni chanzo cha vurugu bungeni. Duuuuh! Patamu hapo. Chanzo: ITV-HABARI.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mdahalo wa Mengi na Manji wa leo ni saa ngapi?

    Na wamuwacheeee aendelee kulea mapacha wakeeee!!!
  5. B

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    sasa nyie vodacom mbona ni wahuni tuu ..watu wanauliza maswali mnakaa kimyaaaaaa
  6. B

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    sasa nyie vodacom mbona ni wahuni tuu ..watu wanauliza maswali mnakaa kimyaaaaaa
  7. B

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali; Nahitaji Helkopta ya kukodi Mwanza

    Me nadhan wakuache tu na hela zako manaake daah!!! Hizo hela ni zako kama huna cha kumshauri jamaa basi just shut up ur poor mouth....me sioni tatizo hapo kwa mtu kutumia mihela yake!!!! Mumuwacheeeeee
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mikoa au Kabila lenye wanawake warembo/wazuri Tanzania

    Nadhan urembo siyo kitu cha msingi sana!!! Kama unataka kuoa chagua urembo wa tabia ndo kila kitu!!!! Japokua urembo uko machon mwa mtu co lazma mrembo kwangu awe mrembo kwako pia!!!
  9. B

    JamiiForums Tanzania Hebu mwangalieni huyu lecturer wa udom

    huo ni ujinga dogo...we komaa kiume coz vyuo vikuu hakuna formular ya kufundishia kila mwl anayo yake so be careful mbulula wewe....
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maji maji ukeni kama mtindi yananikera, je ni uchafu? nahisi kumuacha

    hahaaa dadangu kuna mijanaume mingne ni majanga....jitu halijui kudiscuss issue na mpenzi wake linaamka tu na kutangaza kubwagana... matatzo ya kukulia kotaz hayo
  11. B

    JamiiForums Tanzania Seriously natafuta mchumba-PM

    huyu jamaa anatafta mchumba great thinker coz this is the home of great rhinkers....yani mtaan kwao hakuna mabint kweli...camini
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mama Maria Nyerere ampa siri nzito Dr Slaa, angalia hapa!

    lakini me nadhan ingekua poa km hizo siri zingetolewa hapa au laa zingeachwa mpaka muda wa kunenwa ufike.....vngenevyo haya ni majungu tu.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mama Maria Nyerere ampa siri nzito Dr Slaa, angalia hapa!

    Hahaaaa....chezea intarahamwe wewe. utaumiaaaaa
Back
Top Bottom