Recent content by babake nasreen

  1. babake nasreen

    JamiiForums Tanzania 85,000 tu unapata Fremu ya biashara Kariakoo

    Ntakutafuta tajiri
  2. babake nasreen

    JamiiForums Tanzania Katika michezo 32 aliyocheza Bigirimana akiwa Newcastle alifunga goli 1

    Fei ni kiungo mshambuliaji,jiuluze mkude ana goli ngapi?
  3. babake nasreen

    JamiiForums Tanzania Katika michezo 32 aliyocheza Bigirimana akiwa Newcastle alifunga goli 1

    Mkude ana goli ngapi?
  4. babake nasreen

    JamiiForums Tanzania Yanga: Usajili wao kama wanaenda kucheza UEFA, Serikali iingilie kati

    Ni nane(8)
  5. babake nasreen

    JamiiForums Tanzania Hivi Wachagga wanacheza soka? Nimewahi kuwasikia akina Mwakalebela, Minziro, Masatu lakini siyo Massawe au Mushi!

    Farid Mussa Malik ni mchaga anachezea Yanga
  6. babake nasreen

    JamiiForums Tanzania Bashe aungana na Zitto juu ya mdororo na taarifa ya hali mbaya ya nchi. Uchumi unakuwa kwa 5.9% mabenki hoi

    Km unapinga kwa hoja maana yake umeona mbali na haswa unakichwa kizuri maana serikali ikitaka kufungafunga mambo huwa inajipanga mpk uje kujua basi upo vizuri lkn bila hvyo unakuwa mtu wa kuitikia na kugonga meza tuu km wajingawajinga akina Livingstone Lusinde toka jimbo la mtera.
  7. babake nasreen

    JamiiForums Tanzania Msondo ngoma wanadai walipwe mil 300 na WCB

    Despacito inafika 20% ya nyimbo ya kiba?
  8. babake nasreen

    JamiiForums Tanzania Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Ukiwa na akili utaona mzanzibar pia ni mtanzania lkn m'bara ni mtanzania lkn cyo mzanzibar... Na huwezi kukamilisha tanzania bila zanzibar , sasa km mtanzania wa zanzibar ana utambulisho wa jumla (Tz) na pia ana zanzibar, hauoni kwamba m'bara kuna haja ya kuwa na utambulisho wao? Maana yng kwa...
  9. babake nasreen

    JamiiForums Tanzania Polepole: Cheche zangu hizi hapa

    Ndio mlivyoaminishana kuwa bodyguard alivyomwambia atoke akakae nyuma ya Thornton, kwani kipaza kilikuwa nyuma ya Thornton? We kweli umelewa
  10. babake nasreen

    JamiiForums Tanzania Polepole: Cheche zangu hizi hapa

    Huwez kuwa timamu ukaandika upuuzi huu, unatuaminisha ccm ni chama chakuendelea kupewa nafasi leo tena toka 1977 kwa hali hii? Sheeenzi kabisa utakuwa mchawi wewe uzeeni
  11. babake nasreen

    JamiiForums Tanzania Ni celebrity yupi wa kike hapa Bongo ana mafanikio ya kimaisha yasio na chembe ya mawaa ili mabinti wengine wamwige.

    Jide peke yake Sent using Jamii Forums mobile app
  12. babake nasreen

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Manji amesha punch case ya madawa ya kulevya tayari?

    Serikali ya kujiridhisha ni ya nchi gani? We unaishi wapi Sent using Jamii Forums mobile app
  13. babake nasreen

    JamiiForums Tanzania Mashine ya TRA nishanunua, tatizo wanatuma watu dukani nisipowaandikia risiti wanitwange faini

    Manji alikuwa halipi kodi? Ndo mnavyojazwa na akina polepole huko rumumba? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. babake nasreen

    JamiiForums Tanzania Zitto: Sasa mlitaka Lissu akahoji matumizi mabaya ya rais Chooni, Shimoni au chumbani au kazi ya Mbunge ni nini?

    Katiba inamruhusu, ccm imefanya hivi miaka mingi bila kujua zama zimebadilika Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom