Ni celebrity yupi wa kike hapa Bongo ana mafanikio ya kimaisha yasio na chembe ya mawaa ili mabinti wengine wamwige.

Kweli ila mtego upo kwenye bila kashfa, wengi mapito yao yana konakona
Ni kweli, kama Jack Mengi, ni kweli amefanikiwa na kwasasa anajituma sana even though mumewe ni billionea..

Lakini nae doa lake ndio hilo..
 
Back
Top Bottom