Recent content by babajohn

  1. B

    JamiiForums Tanzania Goodluck wa Azam TV (Morning Trumpet) anahoji watu bila weledi

    Sidhani kama kumtukana mtu ni busara, sijaona kama kutoa mtazamo wangu nastahili kutukanwa na wewe! Nakushukuru.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Goodluck wa Azam TV (Morning Trumpet) anahoji watu bila weledi

    Nawasalimia nyote. Nimekuwa nikifuatilia mahojiano mbalimbali ya moja kwa moja kipindi cha morning trumpet, Azam TV. Kwa maoni yangu mtangazaji Goodluck amekuwa akifanya mahojiano bila weledi, amekuwa akibishana na mgeni bila hoja za msingi. Anakua msemaji mkuu bila kumpa mgeni nafasi ya...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ilala Boma Shule ya msingi 1987 tukutane hapa

    Marahaba....
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ilala Boma Shule ya msingi 1987 tukutane hapa

    Naam nawasalimu wahenga wenzangu tuliomaliza elimu ya msingi mwaka 1987 Ilala Boma hapa DSM. Karibuni tukumbushane enzi zile za mwalimu Mkuu Lutambi (Kamchape), mzee Mangosongo, mwalimu Mang'enya, mwalimu Sanga na wengineo. Tumeshakula chumvi nyingi sasa!
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Nimempiga kibao sasa kazira hataki kula wala kuongea

    Njaa ikimuuma atakula huyo wala usihangaike.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Toyota Carina Ti

    Naomba kujuzwa gari hii Toyota Carina Ti inaweza kupatikana kwa kiasi gani show room?
  7. B

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Zambia

    Vipi matokeo ya uchaguzi mkuu Zambia yakoje? Tupeane updates
  8. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeshikwa live

    Bangi mbaya sana mazee!
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Njowoka

    Wale wenzangu tulio maliza elimu ya msingi mwaka 1987 hapa DSM, Mtakumbuka kulikuwa na mwalimu maarufu sana kwa kufundisha tuition pale uhuru mchanganyiko. Anayefahamu habari zake hivi sasa atujuze tafadhali. Anaitwa mwalimu Njowoka.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mtoto afariki kwa kukosa matibabu Wazazi waliamini nguvu ya Maombi

    Hiyo dini ipigwe marufuku Tanzania
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafikiria kuachana na mpenzi wangu

    Jaribu kutompigia kwa siku kadhaa, ukiona nae hakupigii jua huna chako angalia ustaarabu mwingine.
  12. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke ana mimba ya baba mkwe

    Kweli mkuu, kuua sio suluhisho
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kuzuiliwa kwa safari za nje; Je, inatuhusu raia wote au ni kwa viongozi tu?

    Hii ni kwa watumishi wa umma na taasisi zake tu, watu wengine watasafiri kwa kufuata taratibu za kawaida.
Back
Top Bottom