Mwalimu Njowoka

Mwalimu Njowoka

babajohn

Member
Joined
Dec 3, 2014
Posts
44
Reaction score
19
Wale wenzangu tulio maliza elimu ya msingi mwaka 1987 hapa DSM, Mtakumbuka kulikuwa na mwalimu maarufu sana kwa kufundisha tuition pale uhuru mchanganyiko. Anayefahamu habari zake hivi sasa atujuze tafadhali. Anaitwa mwalimu Njowoka.
 
Namkumbuka Vizuri Mno, Alikuwa Akichapa Bakora Kinoma, Hasa Kwa Wale Vichwa Tupu Na Wazembe Wa Kufanya H/work!!! Ila Sijui Yuko Wapi Mkuu!!!
 
Nilisikia amesha tutangulia mbele za Haki. RIP.
 
Back
Top Bottom