B babajohn Member Joined Dec 3, 2014 Posts 44 Reaction score 19 Aug 14, 2016 #1 Vipi matokeo ya uchaguzi mkuu Zambia yakoje? Tupeane updates
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,107 Aug 14, 2016 #2 Ngoja tumwite mzee wa msoga, mzee wa msoga hebu leta matokeo ya uchaguzi wa Zambia
M Maghayo JF-Expert Member Joined Oct 5, 2014 Posts 20,301 Reaction score 47,311 Aug 14, 2016 #3 Si ni majuz tu Zambia walifanya uchaguz hata miaka mitatu haijapita? Kwani kulikon? Msaada wenu wajamvi
Si ni majuz tu Zambia walifanya uchaguz hata miaka mitatu haijapita? Kwani kulikon? Msaada wenu wajamvi
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,107 Aug 14, 2016 #4 Copenhagen DN said: Si ni majuz tu Zambia walifanya uchaguz hata miaka mitatu haijapita? Kwani kulikon? Msaada wenu wajamvi Click to expand... Raisi alikufa huyu alikuwa ameshika kwa muda kwa ajili ya kufanyika uchaguzi mkuu
Copenhagen DN said: Si ni majuz tu Zambia walifanya uchaguz hata miaka mitatu haijapita? Kwani kulikon? Msaada wenu wajamvi Click to expand... Raisi alikufa huyu alikuwa ameshika kwa muda kwa ajili ya kufanyika uchaguzi mkuu
B ba boom JF-Expert Member Joined Dec 29, 2015 Posts 893 Reaction score 333 Aug 14, 2016 #5 Anasubiriwa jecha aende
tansoma JF-Expert Member Joined Jul 25, 2013 Posts 1,211 Reaction score 581 Aug 15, 2016 #6 Edigar chagwa lungu anaongoza. Kwa ķura 114000 mbelee ya HH