Recent content by babaellen

  1. babaellen

    Nyumba inauzwa Tabata Liwiti

    50M nunueni nyie madalali, hapo 20 inatosha
  2. babaellen

    Nyumba inauzwa Kibamba Gogoni

    nyumba bado ipo tuje iona jumapili?
  3. babaellen

    Natafuta gari aina RUNX au Spacio

    mimi ninayo namba EDA nauza 13M, ipo vizuri haina udalali
  4. babaellen

    Subaru Forester & Mitsubishi Outlander nichukue ipi?

    nimeagiza inaingia baada ya wiki 3, nitatoa mrejesho outlander 2010
  5. babaellen

    Nauza gari Mitsubishi Outlander (2009) - Bei ni Mil 18.

    nimechelewa iona hii post hii gari ndio naitafuta itabidi niiagize sasa
  6. babaellen

    Mauzo ya Apple nchini China yameshuka kwa asilimia 30, na yanatarajiwa kuendelea kushuka mwaka huu wa 2024

    ni kweli wengi wanao coment hawajawahi shika hiz promax au pro, siku wakimiliki hawatataka kurudi android, hizi simu ni dunia nyingine, na iphone sio ya kila mtu ina class zake
  7. babaellen

    Mauzo ya Apple nchini China yameshuka kwa asilimia 30, na yanatarajiwa kuendelea kushuka mwaka huu wa 2024

    sio kweli mkuu tuna iphones na hatupat shida ya kupakua video youtube insta na mtandao wowote unaoujua , ambaye hawes pakua ni mgeni wa simu, huitaji kua na app kupakua , mf ukifungua site inaitwa savefromnet, unapaste link yoyote yenye video inapakua hii ni kote ios na android
  8. babaellen

    Nategemea kuvuta fiber internet ya TTCL

    Mi nipo sinza natamani kujua kama TTCl fiber wamefika au zuku na mawasiliano yao
  9. babaellen

    TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

    zuku au ttcl nani yupo maeneno ya SINZA DAR
  10. babaellen

    Miji iliyokua zamani ila sasa imezeeka

    Dodoma nayo inaelekea hukohuko
  11. babaellen

    IPhone 13 camera hamna kitu

    iphone upande wa picha nawakubali sana camera zao yani point and shoot yani humiss kitu hicho ndio kimewaahinda samsung samsung inahitaj utulize mkono hata baada ya kupiga , kwa moving object iphon wamewaacha andeoid mbal na uzoef na hiz sim kwa sasa namilik hiz iphone 11 na note 9 naona...
Back
Top Bottom