Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,798
- 57,301
Kwasasa hizi gari gharama ya kuagiza hadi Usajili, zimefikia shilingi 24,600,000Bei ya mpya ni shingap? Naomba kujua changamoto za hiyo gari au uzuri mkuu?
Kwasasa hizi gari gharama ya kuagiza hadi Usajili, zimefikia shilingi 24,600,000Bei ya mpya ni shingap? Naomba kujua changamoto za hiyo gari au uzuri mkuu?
Shukrani pia 👏👏👏Asante kwa taarifa mkuu. Nina imani atakuwa ameona na kuelewa. 👊🏿
Ooh hongera sana.Wakuu, gari imeshachukuliwa na mdau kutoka humu humu. Nashukuru sana kwa wote waliochangia mawazo na walioonesha nia. Mbarikiwe sana na muwe na siku njema! 🙏🏾
Yeah Watu wa JF tunaaminiana sana,kuna watu waelewa sana na pesa sio ishu kwao.Nimeamini hilo maana imekuwa rahisi sana kuelewana na mtu na kufanya biashara wakati hata kuonana hatujaonana. Shukrani sana! 🙏🏾
Na pia mtaani madalali wanaharibu sana. Huku unakutana na mtu mnaelewana bei reasonable bila mtu kati biashara inaisha. Nimejifunza vingi sana.Yeah Watu wa JF tunaaminiana sana,kuna watu waelewa sana na pesa sio ishu kwao.
Ungeuza kimtaani mtaani ingekuchukua mwaka mzima hadi uje kumpata mnunuzi wa kweli
Ndio hivyo mtaani watu wanaishi kwa ujanjaujanja na tamaaNa pia mtaani madalali wanaharibu sana. Huku unakutana na mtu mnaelewana bei reasonable bila mtu kati biashara inaisha. Nimejifunza vingi sana.