Recent content by Babaanyi

  1. Babaanyi

    Business ideas (Bure)

    Nipo Dar
  2. Babaanyi

    Business ideas (Bure)

    Wandugu, mwenye wazo lolote LA biashara straight na clean lilitafitiwa lenye uwezo wa kuingiza milioni 1 kwa week, TAFADHALI ani PM then Tufanye kazi nitampatia 20% ya net Profit. Mtaji usiwaze sana. Karibuni
  3. Babaanyi

    New model automatic incubator

    Za kisasa zenye kugeuza mayai, temperature control, hazili umeme kabisa 60 watt, 42 Eggs kwa 400,000 96 eggs kwa 475,000 Ni pm kwa info
  4. Babaanyi

    Biometric finger print time attendance

    Jipatie device za kucontrol attendance za wafanya kazi 150,000 kwa zile za USB disk tu 350,000 kwa zile za Internet na software Ni pm kwa maelezo zaidi
  5. Babaanyi

    Magauni ya Harusi bei POAAA

    Jipatie Magauni ya harusi kwa Bei poa kabisa jumla na reja reja Shs 250,000 tu. Mapya kabisa branded new, with good quality materials
  6. Babaanyi

    Nahitaji mkopo wa haraka

    Collateral yako ni nini?
  7. Babaanyi

    Nataka Mkopo wa haraka wa 2ml

    Unarudisha lini? Na kiwanja kina Hati?
  8. Babaanyi

    Biashara ya Kutoa Mikopo (Microfinance): Hatua, Taratibu za Kufuata na Ushauri wa Uendeshaji

    Wakuu na biashara ya pawn shop? Nayo Ina fall kwa categories hizo?
  9. Babaanyi

    Natafuta Vifaa Hivi Kwa Ajili Ya biashara Yangu

    Mahitaji ya vifaa vya food processing and packaging nk, ushauri wa Aina hizo za biashara join group kwa link hii chini DEF TRADING LTD ⚙
  10. Babaanyi

    Vifungashio kwa bidhaa za sabuni

    DEF TRADING LTD ⚙ [emoji121] group la wadau wote wa processing machines and packaging
  11. Babaanyi

    Nauza salon ya kiume

    Ina nini na nini, weka picha hapa za ndani na nje, nk.
  12. Babaanyi

    Wadau wa Food processing, Hotel and Restaurant, Catering. TUKUTANE HAPA.

    Please nipatie mawasiliano yako, whatsapp number, email nk, nikupe quotation. Asante.
Back
Top Bottom