Wadau wa Food processing, Hotel and Restaurant, Catering. TUKUTANE HAPA.

Babaanyi

Senior Member
Aug 10, 2012
114
42
Habarini wandugu, nakaribisha wadau wote wenye interest ya kujua au kuhitaji vifaa vyovyote vile vinavyohusiana na Usindikaji wa chakula, packaging, catering equipments, matumizi yake na wenye kuhitaji pia tunaweza kumpatia kwa Bei ndogo na ushauri wa kitaalamu BURE, wa kuweza kufanya shughuli hizo. Tujumuike wote kwenye Kundi hili

DEF TRADING LTD ⚙

DEF TRADING LTD, wauzaji na reseller kwa Bei ndogo kabisa ya manufacturer. Ushauri wa kitaalamu wa Aina hizo za biashara bure.

Asanteni

4baaf4c22f111049eac1870a8225cc7a.jpg


8526f4e155402d9db2ac45583c7b8a6d.jpg


9a1531bc3979f339ccde79948d7cc291.jpg


7990f7f1dc63264c291c4a61cf121587.jpg
 
Naomba kujua bei za vifaa vifuatavyo:
Gas open flame grill 12 burner
Pizza oven double or triple deck single phase at least 12 pizzas capacity
Complete Extractor unit fan and canopy 4 by 2 metres
Dough mixer 25 to 30lt
All equipment should be Mc Adams or close quality
I Will greatly appreciate ukinielekeza unapatikana wapi
Ahsante sana..
 
Naomba kujua bei za vifaa vifuatavyo:
Gas open flame grill 12 burner
Pizza oven double or triple deck single phase at least 12 pizzas capacity
Complete Extractor unit fan and canopy 4 by 2 metres
Dough mixer 25 to 30lt
All equipment should be Mc Adams or close quality
I Will greatly appreciate ukinielekeza unapatikana wapi
Ahsante sana..
Please nipatie mawasiliano yako, whatsapp number, email nk, nikupe quotation. Asante.
 
Back
Top Bottom