Recent content by Baba XY

  1. Baba XY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Duh! Ila wanyaturu ni warembo mpaka basi

    Kitu cha nyiramba
  2. Baba XY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hawa dada zangu sijui kama wataolewa. Navyo waona hivi? Sijui.

    Hapo kwa haraka haraka tatizo ni malezi mabovu ya wazazi wako!!
  3. Baba XY

    JamiiForums Tanzania Wazee, Husna wa Corner Bar yupo wapi?

    Huyo hapo
  4. Baba XY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi siku hizi wanapenda kuingiliwa kinyume na maumbile?

    Duuh tuvuruge tope tuuu hamna jinsi
  5. Baba XY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri mpenzi wangu amepotea hewani

    Hayo yalinikutaga kwa Joan. Sitasahau alinisumbua sana. But now niko fresh. Nilionana naye last week Mlimani city akanambia ni utoto ndio ulikuwa unamsumbua.
  6. Baba XY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wachaga watabaki kuwa wake bora daima...

    Sio kweli mie ni muhanga wa wanawake wa kichaga. Nilioa ndoa ya kanisani mwaka 2015. Tukahama toka Arusha tukaja Dar. Aisee yule mwanamke alinibadilikia mpaka nikajiuliza hili ni jini au pepo? Kawa mlevi na malaya. Nilichokifanya ni kuondoka kumuacha aendelee na ujinga wake. Sasa hivi yuko hoi...
  7. Baba XY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke mweupe, nampataje?

    Kama huyu?
  8. Baba XY

    JamiiForums Tanzania RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

    Hizo ni hekaya za abunuwasi. Hakuna sheria ya kumuweka afisa au askari mahabusu kwa kutosaluti. Na huwezi kufananisha TPDF na polisi au magereza ni vitu tofauti kimuundo mpaka majukumu.
  9. Baba XY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi maisha wa wadada wapumbavu yanavyokuwa

    Daaaah mleta uzi umenikumbusha machungu yangu. Ilikuwa mwaka 2005 ndio nimepata kaajira kangu sasa pale kitaa Migomigo Idrisa kuna mama mmoja wa kichaga ana mtoto wake pini kinoma anaitwa Sia kamemaliza tuu form six. Nikamtokea akakubali nikawa najilia tu kimtindo. Sasa kumbe kuna mtoto mmoja wa...
  10. Baba XY

    JamiiForums Tanzania Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    Dr Shelukindo alistaafu ila makazi yake ni mlandizi.
  11. Baba XY

    JamiiForums Tanzania Nimepigwa na Askari na kuumizwa, nipo Hospitali

    Nenda karipoti
  12. Baba XY

    JamiiForums Tanzania Huyu Martin Elia Mkisi mbona anapanda vyeo haraka

    Nasikia Kanali huyu alishafukuzwa kazi kwa utovu wa nidhamu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Baba XY

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona MP wa jeshi mwenye cheo cha juu

    Kaaaa!! Haijawahi kutokea duniani hapa. Vyeo hutolewa kwa amri ya mahakama.
  14. Baba XY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matumizi mabaya ya Mate katika Tendo la Ndoa. Malalamiko na Ufumbuzi

    Mie naona wengi tunaathirika na mapenzi ya kununua ukifika unachomeka unakojoa unasepa. No maandalizi at all. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom