Mzee Lugola, huyu Trafiki Kawe roundabout ni mchapa kazi haswa.

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
15,316
24,181
Wakati mwingine lazima tuwapongeze hawa vijanawa traffic wanaopigwa jua na mvua siku nzima.
Huyu traffic pale Kawe round about kwa kweli ni mchapa kazi.
Yupo pale kila siku akiongoza magari.

Yeye si sawa na wale matraffic kazi yao nikupiga fine tu na kudai chochote.

Mh Lugola muone kwa jicho latofauti.
 
Kweli
20190413_144407.jpeg
 
Yule cheupe?
 
Yeah ni kweli, nakubaliana na wewe, sasa sijui anaishije, maana huwa hasimamishi magari kuomba rushwa hata siku moja..
 
Dah mbona mleta uzi unataka kumuharibia huyo Afande? Wengine wakipandishwa vyeo na kutakiwa wakae ofisini wanaweza hata kufikiria kuacha kazi maana barabarani kunalipa
 
Shida nikwamba hatujazoea kufuata sheria,Mara nyingi sehemu wakiacha taa zifanyekazi lazima ukute gari zimefungiana katikati kila mtu anawahi
weka camera na CCTV inapiga picha automatically inarekodi plate number automatically mtu anapigwa fine, au points zinakuwa deducted kwenye leseni yake.., mwisho wa siku akiwa repeat offender unachukua leseni yake abaki kuwa abiria
 
Hapo sawa
 
Bil
Wakati mwingine lazima tuwapongeze hawa vijanawa traffic wanaopigwa jua na mvua siku nzima.
Huyu traffic pale Kawe round about kwa kweli ni mchapa kazi.
Yupo pale kila siku akiongoza magari.

Yeye si sawa na wale matraffic kazi yao nikupiga fine tu na kudai chochote.

Mh Lugola muone kwa jicho latofauti.
Bila picha tuliopo misungwi tutamjuaje
 
Wakati mwingine lazima tuwapongeze hawa vijanawa traffic wanaopigwa jua na mvua siku nzima.
Huyu traffic pale Kawe round about kwa kweli ni mchapa kazi.
Yupo pale kila siku akiongoza magari.

Yeye si sawa na wale matraffic kazi yao nikupiga fine tu na kudai chochote.

Mh Lugola muone kwa jicho latofauti.
Yule anaevaaga tu nguo za kawaida za kipolisi (sio nyeupe) na kofia ya Trafic?
Lugola anakuuliza wewe mleta post
 
aaahh kuna mashine moja ipo makumbusho fupi nyeupe mdada yuko shapu huyo kulamba buku mbili mbili za madala dala anapenda kusimamaga na mwenzie mweusi....haki yule dada acheki na kima uso mkavu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom