Hawa dada zangu sijui kama wataolewa. Navyo waona hivi? Sijui.

Yaani huyu mkubwa ana miaka 29 sasa.mjuaji sana.mbishi kama nini yaani alivyomaliza na masters basi imekuwa shida zaidi. Nawaza nasema sijui kama hta anadumu na wanaume maana ana ubabe flani hivi na ukichkulia ana uzuri wa kawaida tu sema miguu ndo balaa...mizuri sana.sura kafanana na mzee rangi kachukua kwa mama.huyu kwa miezi mitatu anaweza pika mara moja akijisikia.

Huyu mwingine yeye ni miaka 26. Hajui kupika. Yeye anapenda u sister du acha kabisa. Yaani ni safari tu mara Zanzibar,mara Bagamoyo,mara Arusha.... Pesa zake mwenyewe.anyway....niseme kweli.sijui kama ni zake mwenyewe au vipi. Ingawa anafanya kazi nzuri tu. Anabadilisha Simu kila uchwao na gari. Nashangaa sijawahi sikia analeta mchumba home.

Hajui kupika....wakati wote vidole kasambaza na kucha kama za shetani...hajui lolote.sijui kwnye kutiana. Naye mjeuri kama nini. Nawaza ataolewa kweli huyu? Mmh...sijui.

Huyu wa tatu....yeye ni mrembo hasa.ana mwili,rangi na sura. Ila kichwani ndo hivyo. Ana diploma ya kulazimisha sana. Naye hajui kupika,hajui kuwa na maneno matamu....yaani kwa kushushua wenzie ni kiboko.mpaka wanamwogopa kwa majibu yake miaka 22 anachojua ni kiingereza tu kama mmarekani. Kichwani...kajaza majibu ya kukera tu.

Nasema sijui. Kwa kweli sijui.sijui kabisaaaaaa ....hawa dada zangu sijui. Wapo tu home mpaka muda huu. Namuuliza mama wameleta wachumba ananambia tuwaombee tu. Why kumsumbua sir God mitoto yenyewe ndo hivyo. Sijui. Mi yangu macho tu.
Nakuja nyumban kesho
 
Naona leo watu mmechafukwa humu ndani.
Kuna mwenzako mmoja yeye kawafungulia uzi dada zake eti hawajui kupika na wote mbili wanakaa kwake, then amekuja kulalamika huku Jf...
Yaani yawezekana hao dada zenu wanawajibika vizuri kabisa huko kwa bf zao, na nitoshe tu kusema kwamba hivyo ndivyo walivyo lelewa na wazazi wenu.
 
Mwana mpumbavu ni aibu kwa mama yake
 
Nina dabo Kiki za upako, tuwanyweshe mapepo ya kiburi na jeuri yawatoke.
Kupika watajifunza YouTube, ila kiburi Sasa ndio kazi, Ni lazima tukisete kwa nguvu zote.
Nazjaz ana chupi za upako zitasaidia kuwaletea mivuto
Hivi manabii walishafika mpaka ktk chupi za upako aiseee
 
Naona leo watu mmechafukwa humu ndani.
Kuna mwenzako mmoja yeye kawafungulia uzi dada zake eti hawajui kupika na wote mbili wanakaa kwake, then amekuja kulalamika huku Jf...
Yaani yawezekana hao dada zenu wanawajibika vizuri kabisa huko kwa bf zao, na nitoshe tu kusema kwamba hivyo ndivyo walivyo lelewa na wazazi wenu.
Naunga mkonyo hoja ya malezi
 
Yaani huyu mkubwa ana miaka 29 sasa.mjuaji sana.mbishi kama nini yaani alivyomaliza na masters basi imekuwa shida zaidi. Nawaza nasema sijui kama hta anadumu na wanaume maana ana ubabe flani hivi na ukichkulia ana uzuri wa kawaida tu sema miguu ndo balaa...mizuri sana.sura kafanana na mzee rangi kachukua kwa mama.huyu kwa miezi mitatu anaweza pika mara moja akijisikia.

Huyu mwingine yeye ni miaka 26. Hajui kupika. Yeye anapenda u sister du acha kabisa. Yaani ni safari tu mara Zanzibar,mara Bagamoyo,mara Arusha.... Pesa zake mwenyewe.anyway....niseme kweli.sijui kama ni zake mwenyewe au vipi. Ingawa anafanya kazi nzuri tu. Anabadilisha Simu kila uchwao na gari. Nashangaa sijawahi sikia analeta mchumba home.

Hajui kupika....wakati wote vidole kasambaza na kucha kama za shetani...hajui lolote.sijui kwnye kutiana. Naye mjeuri kama nini. Nawaza ataolewa kweli huyu? Mmh...sijui.

Huyu wa tatu....yeye ni mrembo hasa.ana mwili,rangi na sura. Ila kichwani ndo hivyo. Ana diploma ya kulazimisha sana. Naye hajui kupika,hajui kuwa na maneno matamu....yaani kwa kushushua wenzie ni kiboko.mpaka wanamwogopa kwa majibu yake miaka 22 anachojua ni kiingereza tu kama mmarekani. Kichwani...kajaza majibu ya kukera tu.

Nasema sijui. Kwa kweli sijui.sijui kabisaaaaaa ....hawa dada zangu sijui. Wapo tu home mpaka muda huu. Namuuliza mama wameleta wachumba ananambia tuwaombee tu. Why kumsumbua sir God mitoto yenyewe ndo hivyo. Sijui. Mi yangu macho tu.
Pole sana kama ni Dada zako, hapo wazazi wenu haswa mama hakusimamia malezi kwa mabinti zake, mwanake heshima maana hata wewe unaweza ukajana na rafiki zako ukajikuta wanakuwa mashemeji kwa namna watavyowaona Dada zako wanavyoishi na kuchangamka
 
Mwanzako huyu hapa pia amekuja utushtakia jinsi wadogo zake walivyo lelewa vibaya.

Hahahaha kumbe kaka zetu huwa mnatufikiria kama tunavyowafikiria nyie

Binafsi niko kwenye situation kama yako...kaka yangu wa kwanza ana 29,alishanitambulisha kwa msichana mmoja tu ambaye walikuja kuachana...baada ya hapo hakuna ninayemjua tena

Kaka yangu wa pili ana 27 huyu alishaniambia hana mpango wa kuoa hivi karibuni

Sijui itakuaje asee
Kama vp oaneni tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom