Hii Thread inaeza kutukumbusha wana Tambaza wa 80's and 90's au wanasekondary wa miaka hiyo kama Azania, Zanaki, Jangwani, hasa wakati wa mabasi ya wanafunzi, au yale ya mashirika kuja kutubeba bure, long time, let be connected...
Puza akiwa form 1 mimi form III (two) 1990. Alikuja darasani...