Kumekuwa na watu wenye bahati ya kupata pesa nyigi sana kwa wakati mmoja kwa mfano pesa za migodini kwenye madini, pesa za kuokota, mirathi, pesa za zawadi, pesa za kilimo cha mazao ya biashara (pamba, tumbaku nk), pesa za warina asali, pesa za wachana mbao, pesa za kiinua mgongo na pesa mikopo...