Recent content by Baba Samwel

  1. B

    JamiiForums Tanzania Miujiza 40 ya mtume Muhammad (S.A.W)

    Hizo ni fix tu za kiislam! vinginevyo tungeiona ikifanyika miskitini au kwenye mihadhara.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Iran na Israel ndo wanaume pekee waliobaki ulimwenguni kwa sasa

    Trump ametumia busara tu! angetaka kuamuru mashambulizi ya kulipa kisasi angeweza.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Somo letu: Wajua kwanini namba 13 ni namba ya mkosi? Je, umezaliwa tarehe 13?

    Hapo kweye wanafunzi wa Yesu ndiyo kumethibitisha kuwa ulichoandika ni nadharia tu! Yesu alikuwa na wanafunzi 12,na Yuda alipojinyonga walibakia 11. Any way Ukiamini na kukiri kwa kinywa chako ndivyo inavyokuwa! Kwa kila tarehe ya kuzaliwa kuna Masikini na kuna Matajiri vile vile.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais Magufuli Mei mosi hatutaki kusikia haya...

    Kama Watumishi hatukumwelewa alichosema mwaka jana Mei mosi 2018,tusitegemee mapya mwaka huu kutoka kwake!
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kiingereza ni majanga kwa Rais wetu

    Kajitahidi mbona? Sema tu labda anasema kwa amri kana kwamba anazungumza na wanyonge wa Tanzania.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nyuma ya Pazia Seif kujiunga na ACT (Kuna kitu kinatafutwa) CCM Ikae Tayari

    Kama yafuatayo yatafanyika! 1.NEC itakuwa huru na Haki. 2.Vyombo vya ulinzi na usalama vitakaa pembeni visiingilie uchaguzi. Zaidi ya hapo hata Vyama vya Upinzani vingekuja na mikakati gani,lazima CCM itabaki madarakani tu. Asikudanganye mtu!
  7. B

    JamiiForums Tanzania Tusiwalaumu viongozi wa dini,nao wanalinda maslahi yao na miradi yao.Walioongea Ikulu ndio hali halisi ya Dini na Siasa

    Hata wao (baadhi yao) wana makandokando yao ambayo hata Serikali inayajua! Kwa hiyo si rahisi kuitukana au kuikosoa Serikali,vinginevyo wanaweza kuumbuliwa. Kwa hiyo iliyobaki ni wao pia kujiunga na Kipindi cha Kumwabudu na Kumsifu mheshimiwa!
  8. B

    JamiiForums Tanzania Hatma ya ndoa yangu leo usiku imekuwa hatari kwa maisha yangu

    Nadhani tatizo limetokea baada ya wewe kumpeleka kuristi mtihani katika shule ya Kiislam! Kule huenda amelishwa maneno na kupandikiziwa roho nyingine. Lakini hata hivyo usimwache ni mkeo huyo.Dini siyo sababu ya kuvunja ndoa,kwani kila mtu atahukumiwa pekee yake siku ile ya mwisho.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Nilimfanya kitu mbaya mgoni wangu, naweza samehe mke

    Mrudie mkeo wako wa kwanza! Hakuna asiyekosea madamu amekuomba msamaha kwa dhati msamehe na muendelee na maisha. Usijidanganye kuoa huyo rafiki yake,yatakukuta mengine ambayo hutarajii.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ikulu Yahojiwa weledi wake kwenye masuala ya faragha

    Katika utawala huu hatuongozwi na sheria! Tuna kazi moja tu! Kuabudu na kusifu.
  11. B

    JamiiForums Tanzania CAG Assad: Bunge letu lina udhaifu, limeshindwa kuiwajibisha Serikali kwa ufisadi

    Hivi bado kwa serikali hii kuna ufisadi?
Back
Top Bottom