Kwahiyo wewe ulitaka biashara gani mkuu..
Maana kiufundi hakuna biashara ambayo utaanza na itaanza kukupa faida hapo hapo.
Lakini nikupongeze sababu ushaingia na unajionea mwenyewe na unajiongeza mwenyewe humo humo ndani ya game.
Gharama za ujenzi kwa sasa ziko juu, ukisema kila engineer atumie advanced tools basi miradi ya serikali itazidi kushtua watu kila thamani ya mradi ikitajwa.
Mpanda hapana aisee, pamepoa
Heri morogoro,
Ukizingatia ni eneo lenye mvua nyingi magonjwa pia yanakuwepo sana ko utapiga hela kwenye kuuza dawa
Pia kilimo kinakubali ingawa ukilima kama wenyeji unaweza kuwa maskini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.