Recent content by Baba Mkubwa

  1. B

    JamiiForums Tanzania Iran: Tutajibu uhalifu wa kijeshi wa baharini unaofanywa na Marekani

    Jamani hivi vita viishe ... Mungu tusaidie.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kwa Mwanaume kwenda kulala ukweni?

    Kulala ni kawaida. Mfano mimi nikienda kusalimu kijijini, hupanga ratiba: usiku mmoja lazima nilale kwa wakwe. Hii ratiba hufahamika angalau miezi miwili kabla ya safari. Huu ni mwaka wa 15….ipo hivyo na itaendelea hivyo.
  3. B

    JamiiForums Tanzania KERO Je, UTT AMIS kuna kitu kinafichwa bila sisi wanachama kujua?

    Kwangu mbona inafunguka
  4. B

    JamiiForums Tanzania Lissu amkaba Shahidi wa Jamhuri Mahakamani, ahoji elimu yake ya 'Mafriji' kasomea wapi

    "A Bachelor's degree in Refrigeration and Air Conditioning (RAC) Technologies Engineering provides a comprehensive education in the design, installation, maintenance, and repair of climate control systems"
  5. B

    JamiiForums Tanzania Full Time: Yanga SC 2-0 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 25.06.2025 | Yanga Bingwa

    Nashauri Simba SC ifutwe.😂
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mjamzito wa miezi 9 anaweza kusafiri?

    Anahitaji medical report. Wasiliana na airtanzania faster.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufika Rwanda na taratibu zake

    Wapi ambako hakuna Intelligence?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufika Rwanda na taratibu zake

    Karibu sana Jijini Kigali, beautiful city in Africa. 1. Usafiri kwa ndege? Rwandair ni moja kwa moja hadi huku. Kuna KQ na Ethiopia airways - hizi unapitia kwao kwanza then Kigali. Bus: unaenda hadi Rusumo. Pale utapanda gari za kuja Kigali. Nauli: angaia online 2. Accommodation: kuanzia...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Serikali imewasimamisha kazi wasimamizi wa Mizani kutoka Tunduma, mkoani Songwe hadi Vigwaza

    Endapo kama tutaweza kuwa na Automation itakuwa nzuri sana.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ni chakula gani watu wanakipenda lakini wewe hujawahi kukielewa kabisa?

    Kuna chakula kinaitwa INJERA, ni Ethiopian cuisine.....Kile chakula, HAPANA
  11. B

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 2-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025

    Bado dakika ngapi mpira kumalizika?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mstari gani wa BIBLIA umegusa maisha yako?

    Whoever Is Not Against Us Is for Us Mark 9:40
Back
Top Bottom