Bro wasikukatishe tamaa watu wa humu jf mimi nilikua rwanda mwaka jana mwezi wa 12 nimekaa kule wiki mbili nilifikia pale kigali serena hotel maana nilienda kikazi mimi ni staff wa serena hotel hapa dar so najua viti vingi sana kuhusu rwanda na nilizurura sana so kama uko serious unataka kwenda just check on me nitakupa A to Z kuhusu rwanda nauli sio kubwa sana maana mimi nilipanda katarama from dar to lusaunga nauli ilikua shilingi 80k pesa ya tanzania then nilivyofika lusaunga nikashuka nikachukua basi lingine eicher kutoka lusaunga hadi rusumo boda nauli ilikua 14000 kama sijakosea baada ya hapo nilivyofika rusumo boda nikavuka upande wa pili nikachukua basi kutoka hapo boda hadi kigali nauli ilikua shilingi 5000 ya rwanda ambayo kwa huku tanzania ni sawa na shilingi kama 10000 ya bongo maana rate ilikua ni 0.51,na kuhusu accomodation inategemea na mazingira unayoenda ila sio bei sana ingawa kiuhalisia gharama za maisha rwanda iko juu sana bro kwa maelezo zaidi waweza nicheki kwa simu namba 0716647360 na bado niko nararajia kwenda huko mwezi wa saba bro