Recent content by BABA KEREN

  1. B

    Ufafanuzi: Je, IGP anaweza mpigia saluti CDF wa JWTZ?

    UFAFANUZI: Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ ndilo lililobeba jukumu kwa Taifa zima dhidi ya Adui yeyote yule nje ya Mipaka yetu. Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama ndiye atakuwa mkuu ya Jeshi lolote litakalo anzishwa au kuvunjwa ndani ya Nchi ya Tanzania. Kwanini aitwe Chief Defense...
  2. B

    Kwanini Mkuu wa Majeshi hapewi heshima?

    Kwa Utaratibu wa Vyeo CDF ndiye Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania. Hoja ya kwanini hana Msafara sio kweli kwani yeye anao msafara kwa utaratibu wa sheria ya viongozi wetu nchini. Wako viongozi ambao wanatumia msafara wa njia kufungwa kabisa na huruhusiwi kabisa kufungua mpaka...
  3. B

    PICHA za Capt. Komba zenye utata zasambazwa kwenye mitandao ya kijamii!

    Kaingia msituni sasa imekuwa bahati nzuri kakutana na mateka ndo anajifariji....
  4. B

    Mchungaji Katunzi Kurithi Mirathi ya Mzee Kulola kinguvu ilhali mjane wa Askof Kulola bado yupo

    King Kobra IIII aliyosema ni kweli na sijaona hata chembe ya Uongo kwani ameongea kweli tupu sasa ni wakati wa wa Waleta mada kutueleza kama yaliyoelezwa na King Kobra IIII ni uzushi basi wampeleke kwa Kamati ya nidhamu. Katunzi kwa kadiri nnavyomfahamu mara zote amekuwa akiwaomba waumini...
  5. B

    Mtei: Zitto Hahitajiki ndani ya CHADEMA, Uamuzi wa Kamati Kuu ni wa Mwisho!

    Mwalimu JK Nyerere alitamka wazi kuwa endapo Malecela atachukua Form na kuwania Urais wa Tanzania atarudisha Card yake ndani ya Chama Cha Mapinduzi, je ? CCM ni mali yake ?.
  6. B

    Historia ya Wimbo wa Taifa wa Tanzania na mtunzi wake

    Safi Mkuu nami sikuwa natambua.
  7. B

    Lukuvi kumkimbia Lissu leo kwenye mdaharo ni sawa?

    Sio kweli hata kidogo zipo Hoja za Msingi ambazo Mheshimiwa Waziri-Lukuvi anazo za kutokuwepo kwenye Mdahalo. Naamini kuwa Chama Cha Mapinduzi kina hoja za msingi ambazo hata leo zinaweza kusemwa kwa Wananchi ila swali je wananchi wako tayari kuzisikiliza kwa hali ya sasa ilivyo ?. Mimi...
  8. B

    KATEKISTA kumsukuma bibi harusi altalen mpaka kuanguka ni sawa?

    Kwe! kwe! kwe! Kama Khanga wa Porini, peleka umalaya wako na kivazi chako kwa Bahasha wako!. Safi sana Katekista, siku nyingine tandika Makofi nyambafu sana na Kivuzi chako!.
  9. B

    Wazee wa Mtwara wanajipanga kuigeuza Gesi yote kuwa maji

    Mtwara geuzeni Marekani iwe kwenu hapo nitaona ushujaa wa wazee wenu! Nyambafuu sana ninyi, mmekalia uwizadi tu. Mbona hamkuwageuza Askari wawe miti ya kivuri na Siraha ziwe mihogo ili mule.
  10. B

    Nauli mpya za mabasi ya mkoani hizi hapa!

    Mbagala sijaonanauli yake!.
  11. B

    Nadhani JK ni Rais anayeongoza kwa kujumuika katika masuala ya Jamii

    Mmi binafsi yako mambo nakubaliana na Rais pia yako mengine nasema hapana! But kwa Rais kwenda kwao kujumuika na Ndugu zake je kosa lake ni lipi au nyani haoni kundule! Yeye ni Binadamu aliyezaliwa na wazazi wote wwawili hivyo kwao yeye ni Mtoto mbele ya wazazi wake na anatumwa kama wewe...
  12. B

    jk aukacha mkesha wa maombi

    Mwaka jana Mgeni Rasmi alikuwa Mheshimiwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DR.Mohamed Gharib Bilali Sasa Mwaka Huu walidhani Rais Jakaya Kikwete angekubaliana nao! Maana hawa jamaa ni tofauti na Malengo ya Heshima la Kanisa! Ndio maana Rais Kikwete kaamua kwenda kwao! Na siku...
  13. B

    Wanaopinga mahakama Kadhi "Intellectual Arguments" only

    Mimi ni Mkristo ninayeheshimu sana utaratibu wa Ibada katika Dini ya Kiislamu na Sera zake! Kwangu mimi sioni Kukataliwa juu ya Mahakama ya Kadhi endapo utaratibu Serikali utafuatwa! Bado waislamu watabaki kuwa Ndugu zetu na kamwe hakuna wakututenganisha nao Maana ni Baba zetu Mama zetu Wajomba...
  14. B

    Kijana amwagiwa Tindikali Igunga

    Mabadiliko ya Tz ni ghalama! So mm naamin wakati utafika Magamba watakumbuka Methali ya MUOSHWA HUOSHWA,so naamin TZ ya leo si ya jana! Binafsi nampa Pole Mwanaharakati mwenzangu na nipo tayari kuchangia kwa sehemu Gharama ya Matibabu! Wanaharakati tusife Moyo Ushindi uu Karibu sana wa...
Back
Top Bottom