Recent content by baba Ismail

  1. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maandamano Kenya: Mmoja auawa kwa kupigwa risasi

    Amani !!!!inaweza kutokea kwa maneno machache ila kurudi kwake kunahitaji nguvu kubwa, Watanzania tulinde amani yetu
  2. B

    JamiiForums Tanzania Jikinge na magonjwa yanayoambukiza

    Shukran
  3. B

    JamiiForums Tanzania Manara: Ni vita ndani na nje ya uwanja lazima tupate point 3

    This is simbaaaaa
  4. B

    JamiiForums Tanzania Arusha: TAKUKURU yakanusha kumshikilia na kumhoji Mrisho Gambo

    Mnatakiwa mpost kitu chenye uhakika,mlisema kahojiwa Mara hakuhojiwa,tatizo nini.hebu fanyieni uchunguzi jambo kabla ya kupost
  5. B

    JamiiForums Tanzania Corona Virus: Marekani yatangaza hali ya dharura. Hali yatabiriwa kuwa mbaya zaidi wiki 8 zijazo

    Hili ni janga ni jukumu LA kila mmoja kuangalia ni kitu gani amemkoseaa muumba Na kumuomba msamaha juu ya hill mungu atatufanyia wepesi. TUMUOMBE MSAMAHA MWENYEZIMUNGU
  6. B

    JamiiForums Tanzania Corona Virus: Marekani yatangaza hali ya dharura. Hali yatabiriwa kuwa mbaya zaidi wiki 8 zijazo

    Corona ni Janga aisee,mungu atulinde
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mchungaji mbaroni tuhuma kumchoma moto mwanae

    Ulemavu sio tatizo kwa kiumbe hao ni majaaliwa ya muumba.yeye aumba atakavyo .kuwepo kwa walemavu ni mtihani waja wanapewa ,cha msingi sisi tulio wazima tuwapende walemavu,tuwahurumie pia tuwenao karibu kujua matatizo yao.wewe baba mzazi Wa Mtoto unamfanyia unyama huo wengine watafanyeje ?.ni...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatajwa kuwa miongoni mwa nchi 7 zinazotarajiwa kuwekewa vikwazo vya kuingia Marekani

    Anatuona comments zetu mitandaoni,Mara ooh anamuogopa muiran sasa anaona sisi hatuko pamoja nae,hataki tuingie marekani
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge asema wanaume wakubali hawana nguvu za kiume

    Napita tu
  10. B

    JamiiForums Tanzania TCU yafuta baadhi ya Vyuo, yaruhusu vingine kufanya udahili na vingine vyasitishiwa udahili

    Hapana, failure is a success if you learn from it,wajitahidi kufanya marekebisho
Back
Top Bottom