Recent content by Baba Cleopatra

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wanakuwa hivi?

    Na hyo inawagharimu kwani wanawake waliosoma kwangu ni mwiko kwani midomoni mwao kumejaa HAKI SAWA ambalo ni kinyume cha mpango wa Mungu
  2. B

    JamiiForums Tanzania Bodaboda na mama ntilie Mwanza wajitoa kuiunga mkono UKAWA

    Kumbe wewe hata Nyerere akifufuka wewe bado mabadiliko kwako ni mwiko kama bado unaangalia Star Tv
  3. B

    JamiiForums Tanzania Izingatiwe na UKAWA haraka sana!

    mbona nyumba na simu yako vina milango na password kama wewe huofii kuibiwa
  4. B

    JamiiForums Tanzania Regina Lowassa na ukabila kwenye kampeni

    Watanzania wote ni ndugu kwahyo naona hajakosea sana uchaga hzo ni partision
  5. B

    JamiiForums Tanzania Magufuli yupo wapi

    Anatafuta style mpya ya pushapu labda kwa kuwa na yeye anapenda mabadiliko anaweza akaja na style ya kubeba dunia maana hyo kidogo itamchukua kama wk moja hv maana bila mazoez ya kutosha haupig ovyo ovyo majukwaani
  6. B

    JamiiForums Tanzania Maimamu na Masheikh wa DSM waijibu Taasisi ya Imamu Bukhar-Foundation

    Sasa naiona tz yenye mabadiliko na mashekh walioelimika ktk ubora wao
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mkemia ni nani hasa?

    mbona Magufuli ni imjinia wa kemia ana utofauti gani na huyo unayemsema
  8. B

    JamiiForums Tanzania Matusi ya Makongoro yachafua hali ya hewa Dodoma

    Inasemakana toka kampeni zianze Lowasa ametukanwa kwenye majukwaa ya ccm mara 121 kama na hilo limetokea litakuwa la 122 ambalo litakuwa limetimiza wastani wa matusi zaidi ya 5 kila siku POLE SANA LOWASSA
  9. B

    JamiiForums Tanzania Nini Hatma Ya CCM Ikishindwa 25 Oktoba?

    Wanena vyema
  10. B

    JamiiForums Tanzania Maelfu ya UVCCM, watikisa viwanja vya Mwembe Yanga

    Unakula CCM unalala UKAWA
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kusamehe deni la HESLB ni sawa?

    Kodi ya mfanyakazi itapandishwa ambayo atailipa milele kuliko mkopo anaoumaliza akaendelea na maisha yake kalenga mbali mzee huyu lakini hakutaka kumuathiri asiyepata kazi
  12. B

    JamiiForums Tanzania Watch out out Kingunge! Huyu mzee si wa kubeza

    Hahahaha
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais wa CCM Magufuli aiteka Bagamoyo, azungumzia Gesi

    Hivi kwanini CCM mnajifanya nchi kama ya kwenu yaani nyie ndio last sayer nchi majuzi mlisema "twaweza kuwajia nafasi nyingine lakini sio urais" sasa hivi misemo yenu eti kidumu chama tawala, na wewe unasema eti hata kama hatutaki JPM Ndiye rais wetu. Sasa mwaweza kuwa chanzo cha uvunjifu wa...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais wa CCM Magufuli aiteka Bagamoyo, azungumzia Gesi

    Hivi kwanini CCM mnajifanya nchi kama ya kwenu yaani nyie ndio last sayer nchi majuzi mlisema "twaweza kuwajia nafasi nyingine lakini sio urais" sasa hivi misemo yenu eti kidumu chama tawala, na wewe unasema eti hata kama hatutaki JPM Ndiye rais wetu. Sasa mwaweza kuwa chanzo cha uvunjifu wa...
Back
Top Bottom