Maelfu ya vijana wa UVCCM wakiongozwa na komredi Dr Emmanuel Nchimbi,wapo wakiendelea na mkutano wao viwanja vya Mwembe Yanga wakiandika historia ya vijana kufanya mapinduzi ya kumchagua Magufuli kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Mkutano huo upo live Star TV.
Wanajamvi,
Imeumia sana na kauli za mtaani tunazo ambiwa sisi wana Yanga ni CCM jambo ambalo silipendi sana na ukizingatia Manji katokea katika mkutano wa CCM Mwembe Yanga sasa mashabiki wa simba wanatucheka sana na sisi wengine Yanga tunaonekana kama kupe sasa mimi nina hasira sana nipo mbioni kuacha kuishabikia Yanga.