- Thread starter
- #21
ni sawa kabisa alivyosema Mgombea wetu. wadaiwa wa heslb watasamehewa madeni ili wafanye kazi kwa amani waweze kulipa kodi ya serikali na kuanza kujenga maisha yao. Ni bahati kwamba msamaha utawakumba hata akina zitto sasa unachopaswa kusema ni kuwashauri akina zitto na ridhiwani wao walipe deni hilo kwa kupeleka fedha hizo kwa jamii kama kununua madawati na vifaa tiba
ukisikia ubepari ndo huu, kumsamehe deni aliyenacho na kumkamua masikini, yaani tumsamehe zitto anaezunguka na mgombea na msururu wa wapambe, ila mamalishe akamuliwe rejesho! Bora tubaki na ccm.