Recent content by baba bry

  1. B

    JKT wakanusha kutokea vifo katika mafunzo

    Mtoa Uzi pamoja na wanajamvi tunaochangia katika Uzi huu tukumbuke kuwa jkt ni ya watanzania na ipo kwa ajir ya watanzania, ina wakufunzi wa watanzania wenye weredi wa ukufunzi.hakuna sababu ya sis kulaumu kwa maneno yanayosemwa mtaani tu.jamani kuwa mzalendo c lelemama haya mambo wanayofanyiwa...
  2. B

    Ni sahihi kwa Brigedia Jenerali kumlinda Rais?

    ni kweli hastaili mkuu ila very soon Kuna luteni kanali atachuku ilo fupa
  3. B

    Boti ya Mv Kilimanjaro II kutoka Pemba kuelekea Unguja yanusurika kuzama

    Hapo nungwi ni noma mpaka kuku hunatapika
  4. B

    Midege ya jeshi inayozunguka angani

    mbona timu za mpira zikifanya zoezi amuulizi au kushangaa kwa nini zinafanya,,,?? Ndugu vita is like a game no practice U will always loose let them practice I order to be fit 4 the battle viva jwtz viva air defences
  5. B

    Gharama za safari na mapumziko Zanzibar

    (1)gharma ya boti minimu tsh 23,000/= maximum(VIP) tsh 35,000/= (2)room za hotel jipange kuanzia tsh 40,000-usd900 (3)tax 5000 (4) depend on ur on initative ila ni kawaida kama hotel za dar au mwanza but kuna some slight diference ur most welcome to spice island(zanzibar yetu ni nzuri sana...
  6. B

    Afande Sele Aingia CHADEMA Rasmi Morogoro

    hata arnold schwarzenegger alikua anabana kalio hadharan na bado akawa governor wa california:usa: sembuse sele kujiunga na siasa acha mawazo mgandoooo:dance:
  7. B

    TANZIA Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

    Kwanza kabisa nitoe pole kwa familia ya dr mvungi, mungu awatie wepesi katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mpendwa wenu, pili nitoe pole kwa tume ya mabadilko ya Katiba chini ya mwenyekiti jaji warioba Kwan wapepoteza mjumbe muhimu aliyekua na nia ya dhati katika kuakisha katiba mpya...
  8. B

    Kama una simu ya Nokia au Samsung yenye tatizo la software

    Natumia Nokia lumia 620 nikidownload nyimbo inaonyesha file doesn't supper.imei no353663055185209
  9. B

    Barua ya wazi kwa sir god

    umebugiiii men
  10. B

    Makabila na tabia zao

    Madem wa kimwela maharage ya mbeya maji mara 1
  11. B

    Prof. Majimarefu (CCM) anatafutwa kwa wizi wa gari la mbunge mwenzake

    Chezea sangoma wewe makalla utatolewa kishipa
  12. B

    Yathibitishwa, Dr Ndalichako aondoka NECTA

    acheni kupandikiza chuki za kidini na visingizio vya udin Kwan ni waisilamu wangap wamefaulu kwa necta hiyo hiyo tangu iundwe we kama ujiwezi tafuta Sababu na co dini hata wakimweka sheikh mkuu kwenye hiyo nafasi kama mwanfunzi ni kilaza kamwe hawezi faulu,fungukaa kijana!!!!!!!!!?
  13. B

    Chibulunje alitema jimbo 2015

    Kaona hawezi cop na speed ya vijana
  14. B

    Chibulunje alitema jimbo 2015

    Mbunge wa chinolwa mh chibulunje hatogombea tena ubng 2015 src eatv
Back
Top Bottom