Recent content by Baba Bary

  1. B

    JamiiForums Tanzania Auditing firms: Kwanini makampuni mengi ya wazawa hayafanyi vizuri kama makampuni ya nje?

    Unajua kinacho leta shida n kwenye project kubwa unakuta makampuni makubwa ya napewa kipaumbele kulingana na connection pia brand lakn nawakat mwingne n fikra za wawekezaji .maana kuchagua auditing firm n swala la interest kwa mteja.Lakin tupo na tunafanya vzur sana japo changamoto n uhaba wa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Auditing firms: Kwanini makampuni mengi ya wazawa hayafanyi vizuri kama makampuni ya nje?

    Auditing firm zpo nyingi sana kijana alietoka kuchukua CPA T hana uwezo wa kufungua kampun ya auditing mpaka afanye kazi chini ya kampuni ya ukaguzi wa mahesabu ilio sajiriwa na kupewa muhur na NBAA ndani ya miaka mitatu kisha kutuma sample ya report alizofanya pamoja na matokeo na maoni ya...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Hamna cha kesi, Mimi ndio spika watakaa benchi mwaka mzima

    Hukumu imetoka bungen utovu wa nidhamu umetokea ndani ya bunge adhabu imetoka kwenye kamati ndan ya bunge n hukumu tosha kwa sheria na maadili ya kibunge.Mahakama ingekua na mamlaka endapo hukumu au kitendo kimefanyika kinyume na sheria za bunge.Ndio maana kunasheria wamejiwekea ndan ya bunge...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Hamna cha kesi, Mimi ndio spika watakaa benchi mwaka mzima

    Bunge n muhimili unaojitegemea maamuzi yanayotolewa bungeni yanajitosheleza kulingana na sheria,kanuni na taratibu walizo jiwekea .Ukweli mchungu mahakama haiwezi kutengua hukumu ya bunge kwa wabunge waliopewa adhabu.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ya tamasha la nyama ya Mbwa yaanza licha ya kuwepo kwa tetesi za kuzuiwa mwaka huu

    Sioni ubaya wao kula mbwa maana wamechukulia kama moja kati ya wanyama wengne.Ila kwa wachina idadi yao imefanya wale karibu kila kiumbe hai japo kiafya havina madhara.Nibora tunge waacha wafurahie walacho kulingana na tamaduni zao.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini ndiyo nchi yenye sheria za ajabu zaidi kwa raia wake

    North Korea ni wazalendo sana maana wameamua kuamini na kufata uongozi wao wa kipekee inayowafanya wawe waadilifu wa kupindukia.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Angalia video mpya ya mapara safi

  8. B

    JamiiForums Tanzania Ethiopia imeanza kutengeneza na kuuza vifaru vya kijeshi

    true dat !
  9. B

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Tanga: Mkutano wa Mgombea wa CHADEMA, E. Lowassa - Septemba 28, 2015

    Eti! push up kwa mkeo dah wa tz wana mambo sana
  10. B

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Tanga: Mkutano wa Mgombea wa CHADEMA, E. Lowassa - Septemba 28, 2015

    Eti! push up kwa mkeo dah wa tz wana mambo xn
  11. B

    JamiiForums Tanzania Tukiamua tunaweza kulipa kwa kishindo Kikuu ila tumeamua kuwa wastaarabu. Uvumilivu una mwisho

    hakuna jesh la ccm wala ukawa uspotoshe pia kuzomewa n jambo la kawaida
  12. B

    JamiiForums Tanzania Wagombea Ubunge jimbo la Ukonga toka CUF na CHADEMA walumbana ndani ya Studio Star TV

    ACT ipo kikabila,kidini na visasi kuliko vyama vyote tz
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mtikila: Dr Slaa na Prof Lipumba ni wazalendo, Lowassa hatoshi Urais

    ww ndo haujamsikiliza vizuri mchange alikua anatoka nje ya mada hata mgombea wa cuf pia hana hekima ya uongoz
  14. B

    JamiiForums Tanzania Lowassa na Kiingereza chake!

    c...!m wapga kura wake wengi hawana elimu au uelewa wao kidemokrasia ni mdogo sana ndo maana c...!m pengine wanatumia hadi vitisho ili kuwapumbaza wapiga kura.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Wagombea Ubunge jimbo la Ukonga toka CUF na CHADEMA walumbana ndani ya Studio Star TV

    dah jamaa wakafu anaharbu 2.
Back
Top Bottom