Recent content by bab N

  1. bab N

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa namna ya kuondoa lamination katika vyeti (Delamination)

    Habari wakuu, Naombeni msaada wa kufahamishwa sehemu ambapo wanaweza kuondoa lamination katika cheti, nimehangaika sana na nahitajika lazima niondoe lamination ili cheti kiweze kuhakikiwa. Ahsanteni sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. bab N

    JamiiForums Tanzania wapi nitapata vaccines dar es salaam ?

    Habari wadau nauliza sehemu ambapo wanauza chanjo/vaccines za wanyama wakufugwa kwa dar es salaam. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. bab N

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    au utapotea moja kwa moja mkuu,
  4. bab N

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    naomba linki mkuu
  5. bab N

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    msaada naombeni linki ya kucheki mpira live bila chenga
  6. bab N

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    ahsante sana mkuu ,nitaanza kuzicheki zote mbili voice 2 pamoja na hio life on mars ,lkn voice 1 cjaucheki vipi hautegemeani ?? kweli mkuu mimi series za time travel nahc zinanipa shida kuzielewa vzr lkn nitatulia niuangalie tna huo the wife that I know coz uyo mshkaj ji sung hajawahi...
  7. bab N

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    ambae anaucheki familiar wife naomba anipe mrejesho ,vp upo vzr au kupoteza mb t ?? niliucheki episodes 4 za mwnzo nikauacha kdg Sent using Jamii Forums mobile app
  8. bab N

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Mkuu tuna taste sawa ktk Korea drama ,hata Mimi napenda sample ya series kma hizo sanaaaaa... Detective nakushauri cheki the innocent defendant kma hujauowana ,au IRIS 2 ,Athena ,a man called god ,3 days , Na za love na usaliti cheki kitu kinaitwa when a man love hutajuta , ......na Mimi pia...
  9. bab N

    JamiiForums Tanzania Looking for Korean language training center

    Wadau habari zenu , Naombeni kufahamishwa sehemu ambayo wanafundisha lugha ya kikorea maeneo ya dar es salaam.
  10. bab N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Je bodi watanipa mkopo wote?

    Na mimi pia please naihitaj io namba
  11. bab N

    JamiiForums Tanzania Nimepata mkopo ila mbona majanga? Msaada

    Mkuu round ya ngapi umepata ???
  12. bab N

    JamiiForums Tanzania University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

    Mwenye second batch udom anifanyie ka msaada
  13. bab N

    JamiiForums Tanzania Second selection batch in udom na adimission letter

    Kuna mtu kapata udom MD na ana one ya 8 or 9 ???
  14. bab N

    JamiiForums Tanzania Mada Maalum: Waliochaguliwa kujiunga chuo kikuu cha Dodoma 2017/18

    Kuna mtu yoyote kachaguliwa MD udom na ana one ya point 8 or 9 ?
  15. bab N

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa SUA 2017/18 tukutane hapa

    Shukraan Mkuu ,najarb sana kuwapigia wanakua hawapokei kabisa
Back
Top Bottom